Ngoja nichekTembelea pm tafadhali, nimekufuata huko.
Dah masikin binti mpole dah nilijua ni hizi marelia tu poleni sana
Jamani Saint Ivuga shemela asijue jamani [emoji3][emoji3][emoji3]Duuuh pole sana mke mwenza ,Mungu akuponye kabisa
Najua ata mumewe Saint Ivuga hajui
Kama anajitambua abaki tu kwa uangalizi asee mana magonjwa mengine ni mtihani yani mpe pole yani tuna muombea aponeHali yako ndio hivo, nije update taarifa zake za jana. Bado anatakiwa kubaki south Africa mwezi huu
Maserati ni shemela. Mke mwenza wako ni relato. UsiniangusheDuuuh pole sana mke mwenza ,Mungu akuponye kabisa
Najua ata mumewe Saint Ivuga hajui