Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,185
- 27,098
Najua sana huo ujumbe ni direct kwa relato siku akisomaMaserati ni shemela. Mke mwenza wako ni relato. Usiniangushe
Btw we si uko dar ushaenda hosptal kumwona au maneno mengi tu kama kawaida yako
Najua sana huo ujumbe ni direct kwa relato siku akisomaMaserati ni shemela. Mke mwenza wako ni relato. Usiniangushe
Sasa nisiende tena mimi nani ataenda?Najua sana huo ujumbe ni direct kwa relato siku akisoma
Btw we si uko dar ushaenda hosptal kumwona au maneno mengi tu kama kawaida yako
Karibu tena relato tunakupenda pia mpenzi na pole sana kwa kuumwa Mungu apewe sifaHabari zenu wana jf,
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu, mimi pamoja na familia yangu na rafiki yangu kipenzi maserati, asanteni sana kwa maombi yenu yaliyonifanya sasa nipo hapa, kutoka kutojitambua zaidi ya week 2 mpaka sasa naweza kusoma baadhi ya comment zenu,
Asanteni sana jf family.
Nawapenda.
Mzima sana dia yupo atakuja tulikumiss sana sana
pole sana my dearNilikuja kuwapa hi, bado sijaruhusiwa kutumia simu muda wote. Muda huu mchache niliopata nikaona sio mbaya niwashukuru.
Mungu aendelee kukupigania mpenzHabari zenu wana jf,
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu, mimi pamoja na familia yangu na rafiki yangu kipenzi maserati, asanteni sana kwa maombi yenu yaliyonifanya sasa nipo hapa, kutoka kutojitambua zaidi ya week 2 mpaka sasa naweza kusoma baadhi ya comment zenu,
Asanteni sana jf family.
Nawapenda.
Ndugu uzi umefungwa naona ushamaliza kuandika notice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]