Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

utaratibu wa kuweka mwanaume moyoni nilishauacha siku mingi sana.... kwa hiyo jifunze kumweka mwanaume akilini .. acha kuusumbua moyo aisee
 
Sio mkwara yaani nitamvuruga mpaka arudi kwa mkewe anachechemea

Wakati mwingine ni uwezo wako. Ukimpagawisha demu mwenyewe ana wish akumiliki. Ana assume umekuwa wake. Then akija kugundua kuna mtu alishakuwahi inakuwa shida kwake. Wanaume wenye uwezo ni wachache sana siku hizi.
 
Siku nyingine jifunze kutuweka akilini au mahali pengine popote...

Lakini huko moyoni subiri hadi utapopata mume ndio anayestahili kukaa huko...

Umeelewa??

noted....atakuwa kaelewa tho pratical ni ngumu inahitaji msuli...
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..

nembo lazima amekuachia - maana si alikupiga kavukavu?? Zile nanihii ndio nembo yenyewe atiiiii.
 
Pole sana dear...sijui wanaume wanaonaga ugumu gani kufunguka kwamba wameoa...sijui wamelogwaaaaaa. Kwani kama u km eoa si unafunguka tuu ili binti akiamua kuwa mchepuko ajue!!!
OLE WA MTU ANIDANGANYE HAJAOA NIJE NIGUNDUE....NITAMPIGA MPAKA KILA ANAYEMUONA ANAMSKIKITIKIA KWAMBA HUYU SIO KUPIGWA TUU NA KUBAKWA AMEBAKWA....SHEZIIIIII

Aiseeeh!

Are you a soldier or trained on physical combat!?
 
Salama Jay..kwa hali uliyo nayo utaumizwa sana ..jipe muda kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dear...sijui wanaume wanaonaga ugumu gani kufunguka kwamba wameoa...sijui wamelogwaaaaaa. Kwani kama u km eoa si unafunguka tuu ili binti akiamua kuwa mchepuko ajue!!!
OLE WA MTU ANIDANGANYE HAJAOA NIJE NIGUNDUE....NITAMPIGA MPAKA KILA ANAYEMUONA ANAMSKIKITIKIA KWAMBA HUYU SIO KUPIGWA TUU NA KUBAKWA AMEBAKWA....SHEZIIIIII

Hahahahahahahahahaha mkuu mbavu zangu tu. Ilaa kikubwa mkiambiwa ukweli mnakimbiaa
 
Whatever happened to you na mimi imenitokea recently nipo Mwanza lakin the lady I cared tooo much kupita kiasi, the lady I have sacrificed mambo mengi kwa ajili yake leo kaniona useless like all I did was nothing. Absolutely nothing.. so haya mambo bhana wakati mwingine nadhani kabla hatuja fall in love ni bora weka wazi kila mtu amueleze mwenzake LIKES na DISLIKES zake....lakin too bad ni kwamba unapo taka kujenga mahusiano mapya ukiwa mkweli kwa mwenzako hasa during first sight HUMPATI
Hahahahahahahahaha......mkuu pole sana wenzako tumepona wewe bado upo kwenye maumivu ni kheri kumsaidia ndugu kuliko hao watu aiseeee unaweza kujitia kitanzi
 
Na wew kwanin umeoa usitulie na papuch ya mkeo...? Yaan kifinyo ndio dawa yenu

Uzur wa mchelee mapish meng mara pilau birian sijui wali nk sa kubaki na ladha moja sio mpango.kingine we nipigee ilaa kazi nitakuwa nishamaliza
 
Duh very interesting story aisee, kuna mtoto ashakoseaga kupiga kwa simu yangu kumcheki whatsapp analipa nikaanza kumzingua kaanza ooh libaya nikamtumia pics kama 2 ivi nikamuuliza wabaya wanakuaga ivo?? Anatomy mimacho tu kaingia mzima mzima nikala mzigo Mara 2 nikamwambia mapenzi yetu yameishia hapa thanks for ur company😎😎😎😎
Tatizo nyie wanawake nyodo sana
 
Mapenz ndivyo yalivyo...pengine na we ushawai kumtenda mtu..ila huwa inakuaga kwamba yule usomdhania ndo hua na mapenz ya kweli kwako cha ajabu hua mnamkataa et kwa sabab co handsome haha dah ..na yule unayemwona ndo bora mwenyewe umempenda ndo anakutenda hadi huamini yan..ila ucjal ndo maisha ya xaxa hayo.
 
Back
Top Bottom