Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

Mapenzi ya siku hizi ni ukichaa mtupu. Yaani unateswa na mtu ambaye hata humjui vizuri. Ndio mana siku hizi mnafanywa kama big G, mnamegwa mnatupwa. Safi kabisa nami nasema mmegwe tu, mana hamna namna.

Hahaaa na kweli wamegwe tu kwani hakuna namna nyingine 😃😃
 
Kwenye hii game ya mapenzi kila mtu anaumizwa kwa wakati wake so bi dAda usijali amka uendelee na maisha
 

Whatever happened to you na mimi imenitokea recently nipo Mwanza lakin the lady I cared tooo much kupita kiasi, the lady I have sacrificed mambo mengi kwa ajili yake leo kaniona useless like all I did was nothing. Absolutely nothing.. so haya mambo bhana wakati mwingine nadhani kabla hatuja fall in love ni bora weka wazi kila mtu amueleze mwenzake LIKES na DISLIKES zake....lakin too bad ni kwamba unapo taka kujenga mahusiano mapya ukiwa mkweli kwa mwenzako hasa during first sight HUMPATI
 
Siku nyingine jifunze kutuweka akilini au mahali pengine popote...

Lakini huko moyoni subiri hadi utapopata mume ndio anayestahili kukaa huko...

Umeelewa??

Watuweke sehemu gani sasa
 
Duuu nimecheka hatari. Tatizo ukiambiwa nimeoa hutotoa kipochi manyoya na wakati hicho ndio lengo Lake kuu.

Mimi tukikubaliana hata kama umeoa nakupa.sasa unidanganye nijuee haaaa nitakupiga mbele za watu mpaka unitaje jina la utoto.
 
Biblia Takatifu inasema: acheni wafu wawazike wafu wenzao.
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..
Khaa!! Ndiyo la msingi. Labda kinachokuumiza ni uwajibikaji wa jamaa. Ondoa hasira soon ataibuka mwingine..
 
Duh we kiboko ingawa hauishi majini..... nimekupenda bure japo si kimapenzi.... NADHANI UTAMEGWA SANA KWA KUAMINI KUWA HAWAONDOKI NAYO WALA HAWAWEKI NEMBO... NA IMANI HIYO NDO INAKUFANYA ULALAMIKE LEO

Najibu mtu kulingana na ujinga anaongea...mtu akijibu pumba ww unaleta mashudu..
 

Hahaha kibakio unacho?😆😆
 
Salama Jay wewe juzi juzi ulisema unataka mtu wa kuinjoy nae weekend?

Vip ulimpata?

Baada ya kuachana na huyo je umeshapata mwingine?

Ulielewa vibaya...sio mtu Wa kuenjoy naye...kasome thread vizuri...nilisema nin nifanye weekend
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako uzungu mwingi.Kama hivi vingereza ulivyotumia hapa ndo unavyotumia kuongea lazima uwe mchepuko tu.
 
Tatizo lako uzungu mwingi.Kama hivi vingereza ulivyotumia hapa ndo unavyotumia kuongea lazima uwe mchepuko tu.

Sasa ulitaka niandike English mwanzo mwsho utasahihisha au?
 
Upo desperate na mahusiano.
Ndio maana yeyote yule aliye 'good to be true' unamkubali.
Take your time.
 
Eheee... We vp kwani kupanic uko,kumegwa nimegwe mie we upanic uko vepee...relax,ngoma bado ipo hajaondoka nayo wala kuacha nembo yake..

Unajisikia unavyoongea. You sound desperate. Ila kiukweli nanyi fanyeni ka homework kidogo. Hizo akili mnafanya nayo nini kama sio kufikiri? Mtu kukutokea tu ushawaza ndoa.Khaaa
 
Unajisikia unavyoongea. You sound desperate. Ila kiukweli nanyi fanyeni ka homework kidogo. Hizo akili mnafanya nayo nini kama sio kufikiri? Mtu kukutokea tu ushawaza ndoa.Khaaa

Umeona wapi nimeongea kuhusu kuwaza ndoa...?huyo nimemjibu kulingana na ujinga aliyoandika,desperate or not huwezi kuuzuia moyo uweke pause eti usipende
 
Mama jitahid kumsahau,,,ila nahis chaguo lako sahihi n mm mama mungu kakuonyesha huku kwang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…