Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Kweli leo nimenunua RED RELAX ya tshs 30,000 nimepata dk 800 allnet GB 12 na SMS na bonus 20m voda to voda na makorokoro kibao. Huko nyuma same amount ilikuwa 600 minutes all nets 3GBna SMS kibao. Nilishangaa sana bundle murua hili. Tatizo internet Voda ni slow hakuna cha 4G
 
Pamoja na changamoto, Vodacom kwangu ni chaguo no moja tangu nimeaanza kuitumia Agoati mwaka 2000 mara baada ya kuzinduliwa na by then rais Mkapa Aprili 2000. Sijawahi hama.
 
Tatizo wanatuibia maana haitakiwi nikinunua kifurushi kiwe na kikomo inatakiwa kiishe pale mm nitakapo tumia unanunua kifurishi hujatumia eti wanasema kimeisha au kimexpery wanatunyonya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado hamna kitu hapo, hiyo 20GB ingekua bando ya mwezi ningerudi voda. BTW vifurushi vya voda hua vinaisha kwa kasi ya 5G usidanganyike.
Wameweka 20GB kwa mwezi, price 20K
Ni reasonable

Masaihost.com
Cheapest, Quality Web Designing and Hosting solutions
www.masaihost.com
 
Kwani kinachofanya mtandao wa Vodacom kuwa na gharama za juu tofauti na mitandao mingine Ni nini?
 
Ni kwa siku Wamesema
Yani eti 2500 unapata 3Gb Per Day
Aloooh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajinga sana,hata mimi wamenunasa,nimenunua cha 2,500/ kumbe ni cha saa 24,nilidhani cha siku 3,wakome na hawanipati tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…