Soma mara mbilimbili headingnimecheka sana kichwa cha habari na content ni ardhi na mbingu....
pole sana mkuu jiongezeee
nimesoma hapo kwenye content naona unalalamika kimya kirefu sio?
Ivi na izi nafasi za NgoroNgoro cjui itakuwaje nazo
Ivi na izi nafasi za NgoroNgoro cjui itakuwaje nazo
Yaani ni bora hizi taasisi zote ajira zao zipitie Utumishi,kidogo urasimu utapunguaMkuu ni kudubiria tu. Ila tanapa atleast wangekuwa wanatoa list ya majia ambao wako selected.
Mtu ajue ameitwa au lah.
Laki. Hii kukausha.. ni mwanya wa urasimu. Maana wanaweza ita watu wao wakawapachika bila mtu kuhoji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Hii tabia ya kupoke majina halaf wanakaa kimya. Inaonekana wanafanya yao. Na nirahis kuchomeka watu wao sababu hakuna anaejua kinachoendelea.Yaani ni bora hizi taasisi zote ajira zao zipitie Utumishi,kidogo urasimu utapungua