Asante sana Ngeleja

Huyu jamaa ni hatarii sana, mi namkubali kwa kweli ana uwezo wa kipekee, he deserves to be the president of Tanzania 2015

Join Date : 9th October 2014
Posts : 30
Rep Power : 317
Likes Received6
Likes Given0
 
Utendaji wake haswa ktk wizara ya nishati na madini unajiziilisha kuwa anaweza kuread the nation

Kuread the nation????
Join Date : 1st April 2012
Posts : 44
Rep Power : 450
Likes Received8
Likes Given16
 
Aisee huyu jamaaa anakuja kasi. Hapo mwazo alipotajwa ktk ban niliona km hakustahili kumbe legacy yake ni hatari tena ni tishio kwa wengine.

Wote mmefungua akaunti JF kwa ajili ya kupiga debe Ngeleja agombee urais??? Basi bila shaka ndio mtajua vizuri uchafu wake
 
Kwa kitabu sawa! lakini kwa maadili ni mpiga dili kama chenge, kumbe wanasheria ndo wanatudhoofisha sana nchi hii
 
shida ya kupiga viroba asubuhi ndo hii.......zinakuja thread za mazingaombwe ka hizi
 
ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi ujue yeye mchafu zaidi.
 
jizi mwizi jambazi, kabaji, haramia,jangili,za mali za watanzania arudishe hela zetu huyu
 

hizo ni cheap politics
 
Amesharudisha ule mgao wake wa escrow kwanza..?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ngeleja yuko vzur wadau, tuwe wachambuz wazur tusifanye vitu kwa kuangalia juu juu tuu yuko safii sana huyo...Dada celine sikujui lakini nakupa bigup

Hayo mazuri kaeni nayo wenyewe,sie wana Sengerema tumeshampa salamu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa,twamsubiri kwa hamu 2015 if he will dare!!
 
Wote mmefungua akaunti JF kwa ajili ya kupiga debe Ngeleja agombee urais??? Basi bila shaka ndio mtajua vizuri uchafu wake

Waache wafu wazike wafu wenzao! Huyo wanaempigia debe anajua salamu alizopewa na Wanasengerema kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
 

The writter must be a stupid creature of its own type! Una akili wewe? Zinakutosha?
Uandikaji wa aina hii niliusoma kwenye kitabu cha Shaában Robert akimsifu mkewe. Nahisi hata mkewe alimsifu hivyo mumewe Shaaban.

Bila kujali sababu ya kuandika haya mimi nimekuweka kundi la wajinga kwa sababu hukuhangaika hata kidogo kujiuliza kwa nini alikaa miaka yote hiyo ktk wizara, hukuhangaika kueleza mafanikio yake badala yake unaandika mambo ya kizembe. Nani alikwambia Certificate of orifgin ilianzishwa na Ngereja? Huji kwamba Mwadui Diamond imekuwa na mtindo huo kabla hata Ngereja hajazaliwa? Shiiit!

Kama kweli Huko Geita wanamsifu ngereja, basi ni wale wenye akili kama zako. Geita kuna watu wamenyang'anywa maeneo, wakaishi kwenye magofu kwa zaidi ya miaka 4 bila hata serikali kuhangaika nao. Huko Geita ndiko GGM wanaishi utadhani hakuna serikali ya mkoa. Kisa wanawasiliana na wala rushwa wenzenu dar.

Umeshindwa hata kueleza kwamba kipindi cha Ngereja wako, ndo kipindi ambacho madini yametoroshwa kwa wingi kuliko kipindi kingine ktk historia ya nchi hii.

Kama huu ndo uandikaji wako kwa kiwango cha sasa naomba uwe kimya, usubiri upate uzoefu maana naona ulijiunga ili kumpa sifa Ngereja. Unajiunga, baada ya siku tano unabowa hivi?
Join Date : 12th December 2014
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received 6
Likes Given 0
 
Kwani wewe Celine umelipwa shilingi ngapi kumfanyia huyo ngeleja kampeni ? Sifa ulizozitaja sijaona hata moja inayoweza kumfanya mtu ashtuke kuwa kuna jambo la maana kalifanya hadi watu tuanze kumfikiria urais.Hata CV yake mbona ni ya kawaida sana mbona ?
 

for this hakuna zaid yake.....next president
 
Ngeleja?????FOR WHAT!!!!!!!umekosa wa kumsifu mpaka utuletee huyu FISADI wa escrow???Mmmechelewa,he has to go even to HELL!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…