Asante sana Ngeleja


mbona unaanzisha thread nyingi za ngeleja?
 
celine nenda kampe ulale halafu hatuta danganyika tena ESCROW
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ngeleja yuko vzur wadau, tuwe wachambuz wazur tusifanye vitu kwa kuangalia juu juu tuu yuko safii sana huyo...Dada celine sikujui lakini nakupa bigup
 
Ngeleja huyuhuyu wa Sengerema au mwingine? huyuhuyu aliyechota za ESCROW juzi kati!!!?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Ngeleja yuko vzur wadau, tuwe wachambuz wazur tusifanye vitu kwa kuangalia juu juu tuu yuko safii sana huyo...Dada celine sikujui lakini nakupa bigup
Kwani big up mpaka mjuane??!
We want our money back!!!
 
Kati ya vijana walioonesha nia yankuhombea urais hakuna anayemfikia ngeleja kwa legacy nzuri.
Yapo mabayabmachache aliyoyafanya lakini mazuri Ni mengi. Tuyachukue hayo mazuri twende ni naye 2015. Ni kijana shupavu na mwenye uwezo WA kufanya kazi ikaonekana.
 
haa haa kweli pesa inapofusha!
 
Nani kiongozi mwadilifu katika nchi hii asimame tumuone... Ngeleja ni kiongozi makini kaitumikia wizara ya Nishati na Madini na kuonyesha mafanikio makubwa...
 
Hivi anawalipa pesa kiasi gani huyu mtu kuja kumpamba humu?

Watanzania tuna macho na masikio,tunasikia na tunaona wenyewe nani anayetufaa sisi na nani ni mwizi,fisadi na mwenye kujikweza(kufikia hatua ya kumzaba makofi mlinzi wa ATM)

This time kombe halifunikwi,na hata likifunikwa,mwanaharamu hapiti

Ndio hapiti!!
 

atakuwa ngeleja mwenyewe kaja na hii ID. anasikilizia
 
duh, njaa kitu hatari. Inaweza kufanya ukaandika vitu vya ajabu!
 
Aisee huyu jamaaa anakuja kasi. Hapo mwazo alipotajwa ktk ban niliona km hakustahili kumbe legacy yake ni hatari tena ni tishio kwa wengine.
 
Ngeleja wa watanzania anatosha kabisa, tuna imani nae na ninaahid kupambana ktk hili kuhakikisha mambo yanakaa sawa na tunapata ushindi mkubwa, nenda Ngeleja nenda 2015 twende tuikomboe Tanzania yetu
 
Utendaji wake haswa ktk wizara ya nishati na madini unajiziilisha kuwa anaweza kuread the nation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…