Asante sana JF

Asante sana JF

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Wakuu kama mnakumbuka niliweka thread humu ndani ya kuwa ninatafuta mke, hatimae nimempata tena ana vigezo vile ambavyo nilivyokuwa ninavitaka( japokuwa kuna wengine walinivunja moyo ) yaani kwa ufupi ni binti mwenye sifa nilizokuwa nazitaka hadi nyingine zimezidi. Tarehe 15 mwezi huu ninapeleka posa....

Kwa wale ambao mnatafuta humu endeleeni kutafuta wakuu mtapata tu.....

Asanteni nyingi kwa aliyeanzisha JF.ubarikiwe....
 
Hongera sana... Nawatakia kila la heri katika mahusiano yenu..!
 
Hongera.... I hope wewe sio mmoja wa players unatafuta njia ya kutafuna watoto wa watu...
 
Dah! Embu nijuze Ulitumia njia gani kuhakiki tabia yake ndani ya muda mfupi namna hiyo? Au hilo halikuwa kwenye vigezo vyako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom