Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,726
Nenda katika Jukwaa na masoko na biashara uweke Uzi mkuuSamahani, nje ya maada.
Hivi soko la samaki kambale lipoje kwa hapa dar?
Nina tenki, nataka niyafuge atleast nipate hela ya kubadilisha mboga.
Mnisamehe kwa kuingilia maada.
Huku kwenye siasa ndio kuzuri mkuu, ma jobless ni wengi hivyo ideas wanazo ila ni vile mtaji hawana.Nenda katika Jukwaa na masoko na biashara uweke Uzi mkuu
Mkuu tank la ujazo gani, emb naomba nami nipe dondoo namna ya kufanya. Nina tank(Simtank) 2000ltrs halina kazi hapa.Samahani, nje ya maada.
Hivi soko la samaki kambale lipoje kwa hapa dar?
Nina tenki, nataka niyafuge atleast nipate hela ya kubadilisha mboga.
Mnisamehe kwa kuingilia maada.
Then haujaelezea vizuri untaka tankHuku kwenye siasa ndio kuzuri mkuu, ma jobless ni wengi hivyo ideas wanazo ila ni vile mtaji hawana.
Bado mapemaAsante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki
Pole Sana jemedali
Nipe hilo tank nikupe hela, kambale anapenda tope huwezi kumfuga Kwa tank akastawi.Mkuu tank la ujazo gani, emb naomba nami nipe dondoo namna ya kufanya. Nina tank(Simtank) 2000ltrs halina kazi hapa.
Ukiwatiamo wanaatawi bila shida?
Muda mrefu ukimlinganisha na nani?Gambo nae amekushakuwa kiongozi muda mrefu tu inamtosha..!!
Yale naskia yanastahimili mazingira magumu.Mkuu tank la ujazo gani, emb naomba nami nipe dondoo namna ya kufanya. Nina tank(Simtank) 2000ltrs halina kazi hapa.
Ukiwatiamo wanaatawi bila shida?
Yale naskia yanastahimili mazingira magumu.Mkuu tank la ujazo gani, emb naomba nami nipe dondoo namna ya kufanya. Nina tank(Simtank) 2000ltrs halina kazi hapa.
Ukiwatiamo wanaatawi bila shida?