Arushaone, ona hawa wa siojielewa, sifa za Yesu Kristo wanampa Magufuli, wakati nae Magufuli yuko busy kuwapigia wazungu magoti wampe misaada.Kwa Magufuli kila goti litapigwa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hata goti la Nyumbu litapigwa tu
Mchagga wa wapi?Sawa dear mchaga
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Hapa wilayan sengelema mjin mpaka vijijin ndan ndan kabisa maji yana tiririka ile mbaya yaana ni raha msatarehe
Asante rais magufur huu mrad wa maji ulikuwa umekwama lakin baada ya wewe kuingia mambo yamekuwa mambo
Asante pia pro mkumbo kwa uthubutu wako wa hali ya juu sana
Kwa sasa sengelema mambo ni safi kabisa mjin had vijijin
Umeme safi mjin kwa vijijin
Maji safi mjin kwa vijijin
Kwa kifupi mkoa wa mwanza imebak misungwi peke yake
CCM MBELE KWA MBELE
LONDON BABY
Mkuu P5 haijaanza kukusumbua tu? Maana ni ya kitambo kweli. Ila hongera kwa kuwa mtunzaji nadhani unawashangaa sana wanaosemaga tecno hazidumuSAFI SANA
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
ni jambo jema na zuri kwa hatua hiyo,lakini umefanya utafiti ukajua ni vijiji vingapi vinanufaika na huo mradi?au tuendelee kusifia tu kwamba hadi ndani ndani na hatuna uhakika?kuna vitu niwajibu wa serikali kufanya jamani si ni kodi za watu wa nchi hii hizo?kuna watu wana mchango mkubwa sana katika miradi na mazuri flani flani yanayoonekana kuzinduliwa na mtukufu sana,lakini najua kwakua tumeshamjua huyu,na nyie mmejitoa ufahamu kabisa.lazima yaimbwe mapambio ya kumtukuza,kusifu,kumuunga mkono hata kukufuru Mungu sababu ya vitu ambavyo ni wajibu wake kama "mtawala" wetu.kuna kitu huwa najiuliza sana,utawala uliopita mbona sikuona hizi harakati za kumuunga mkono,kufanyaje sijui,mara atawale milele utafikiri yeye Mungu hafi,mara cjui, yani argh!!mara twaweza kila mwezi wanakuja kutuambia anakubalika hivi,mara safari hii wazee ndo wanamuelewa zaidi,mara asilimia 79 kwa ngapi sijui.UKWELI NI KWAMBA KUNA HOFU KUU WANAIONA MACHONI PA WATANZANIA WALIO WENGI.....IMANI HAIPO.Hapa wilayan sengelema mjin mpaka vijijin ndan ndan kabisa maji yana tiririka ile mbaya yaana ni raha msatarehe
Kuna watu walicharuka sana .....siku mbili tatu zilizopita ni vizuri waone sasa na wapunguze vijembe.
hahaaa MKUU hii simu ina miaka mitatu ni jiwe saana, sitaki hata kuuzaMkuu P5 haijaanza kukusumbua tu? Maana ni ya kitambo kweli. Ila hongera kwa kuwa mtunzaji nadhani unawashangaa sana wanaosemaga tecno hazidumu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nitalifanyia kax hiloHabari nzuri, uandishi mbovu.
Penye "r" wewe unapuyanga na "l"!
Ndiyo maana wakati ninafundisha nilikuwa nawalamba mboko za kushiba watoto vichwa maji mfano wako.
Mnazitukanisha sana shule za kata nyie.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Habali kamili
Hapa wilayan sengelema mjin mpaka vijijin ndan ndan kabisa maji yana tiririka ile mbaya yaana ni raha msatarehe
Asante rais magufur huu mrad wa maji ulikuwa umekwama lakin baada ya wewe kuingia mambo yamekuwa mambo
Asante pia pro mkumbo kwa uthubutu wako wa hali ya juu sana
Kwa sasa sengelema mambo ni safi kabisa mjin had vijijin
Umeme safi mjin kwa vijijin
Maji safi mjin kwa vijijin
Kwa kifupi mkoa wa mwanza imebak misungwi peke yake
CCM MBELE KWA MBELE
LONDON BABY