Asante Rais Magufuli, maji yaanza kutiririka Sengerema

Asante Rais Magufuli, maji yaanza kutiririka Sengerema

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana.

Hapa wilayani Sengerema mjini mpaka vijijini ndani ndani kabisa maji yana tiririka ile mbaya yaana ni raha starehe

Asante Rais Magufuli, huu mradi wa maji ulikuwa umekwama lakini baada ya wewe kuingia mambo yamekuwa mambo.

Asante pia prof. Mkumbo kwa uthubutu wako wa hali ya juu sana.

Kwa sasa Sengerema mambo ni safi kabisa mjini hadi vijijini.Umeme safi mjini kwa vijijini.Maji safi mjini kwa vijijini.
Kwa kifupi mkoa wa mwanza imebak misungwi peke yake

CCM MBELE KWA MBELE

LONDON BABY
.
Kwa kweli ni aibu sengerema na ziwa pua na mdomo eti maji yalikuwa ya taabu,kweli waafrica tumelaaniwa
 
ni jambo jema na zuri kwa hatua hiyo,lakini umefanya utafiti ukajua ni vijiji vingapi vinanufaika na huo mradi?au tuendelee kusifia tu kwamba hadi ndani ndani na hatuna uhakika?kuna vitu niwajibu wa serikali kufanya jamani si ni kodi za watu wa nchi hii hizo?kuna watu wana mchango mkubwa sana katika miradi na mazuri flani flani yanayoonekana kuzinduliwa na mtukufu sana,lakini najua kwakua tumeshamjua huyu,na nyie mmejitoa ufahamu kabisa.lazima yaimbwe mapambio ya kumtukuza,kusifu,kumuunga mkono hata kukufuru Mungu sababu ya vitu ambavyo ni wajibu wake kama "mtawala" wetu.kuna kitu huwa najiuliza sana,utawala uliopita mbona sikuona hizi harakati za kumuunga mkono,kufanyaje sijui,mara atawale milele utafikiri yeye Mungu hafi,mara cjui, yani argh!!mara twaweza kila mwezi wanakuja kutuambia anakubalika hivi,mara safari hii wazee ndo wanamuelewa zaidi,mara asilimia 79 kwa ngapi sijui.UKWELI NI KWAMBA KUNA HOFU KUU WANAIONA MACHONI PA WATANZANIA WALIO WENGI.....IMANI HAIPO.
Mkuu vijiji ving sana vinatoa maji

Busisi
Nyampande town
Tabaruka na vingine vingi mkuu
 
Back
Top Bottom