Asante Rais Magufuli, maji yaanza kutiririka Sengerema

Asante Rais Magufuli, maji yaanza kutiririka Sengerema

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
24,931
Reaction score
44,936
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana.

Hapa wilayani Sengerema mjini mpaka vijijini ndani ndani kabisa maji yana tiririka ile mbaya yaana ni raha starehe

Asante Rais Magufuli, huu mradi wa maji ulikuwa umekwama lakini baada ya wewe kuingia mambo yamekuwa mambo.

Asante pia prof. Mkumbo kwa uthubutu wako wa hali ya juu sana.

Kwa sasa Sengerema mambo ni safi kabisa mjini hadi vijijini.Umeme safi mjini kwa vijijini.Maji safi mjini kwa vijijini.
Kwa kifupi mkoa wa mwanza imebak misungwi peke yake

CCM MBELE KWA MBELE

LONDON BABY
 
Bac sawa....makofi na vigelegele kwa mheshimiwa tafadhal

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa sengelema wana furaha sana mda huu
 
sengerema sio sengelema tantafu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni kwa hisan, akitulia kweny kaya dar na yenyewe yanakata
 
mkuu una mashindano yakuanzisha thread?
 
Kwa Magufuli kila goti litapigwa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app


Hata goti la Nyumbu litapigwa tu
 
Back
Top Bottom