hapa sio blah blah kuna maslahi ya taifa letu. rais arudi atazame Standing Order zinasemaje katika nafasi hizi? wengine tunaipenda zaidi nchi yetu kuliko mavyama yenu haya.Charity begins at home, kama hutaki unashit
Mkuu una uhakika teuzi zilizopita hazikuwa affiliated na siasa mpaka unaamua kukomaa na hizi za leo?hapa sio blah blah kuna maslahi ya taifa letu. rais arudi atazame Standing Order zinasemaje katika nafasi hizi? wengine tunaipenda zaidi nchi yetu kuliko mavyama yenu haya.
Mkuu una uhakika teuzi zilizopita hazikuwa affiliated na siasa mpaka unaamua kukomaa na hizi za leo?
unavyosema affiliated na siasa una maanisha nn? taratibu lazima zifuatwe.Mkuu una uhakika teuzi zilizopita hazikuwa affiliated na siasa mpaka unaamua kukomaa na hizi za leo?
Tanzania yenye viwanda na ukada hatuendi popote.Tunarudia makosa yaliyopita kuweka makada kwenye viwanda na kusahau wataalam ni wakati tu.Baada ya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na baadhi ya mikoa kufanyika,kulikuwa na "minong'ono" mimgi kwenye korido za Lumumba na Makao Makuu,kuwa vijana wengi waliopigania chama kuanzia mitandaoni mpaka "field" wametupwa kapuni,hali iliyozua sintofahamu na kushusha morali.
Vijana hawa walipigana kufa na kupona kuhakikisha chama kinarudi madarakani licha ya kuwepo upinzani mkali sana uliotishia "uhai" wa chama,upinzani wa nje na ndani ya chama ulitikisa kweli kweli harakati za kuingia Ikulu kwa mara ya Tano.Juhudi za vijana hawa wakiwa field na mitandaoni zilichangia kwa kiasi ushindi wa CCM.Licha ya matusi na kejeli mitaani na mitandaoni vijana hawakukata tamaa.
Hatimaye uteuzi wa makatibu Tawala wa Wilaya nchini umekumbuka kundi kubwa la vijana waliokuwa mstari wa mbele field na mitandaoni kukipaigania chama.Hongera sana kwa vijana wenzangu ambao mmepikwa na mmeiva kulitumikia Taifa. Nyinyi ni zao la Uvccm na Shirikisho la Vyuo Vikuu. Nendeni mkapige kazi kwa uadilifu mkawatumikie watanzania vyema. Hakika tumefurahi sana. Tunawatakia kila la Kheri katika majukumu yenu mapya.
* Joseph Chitinka Meshack
* Kheri James
* Asenga Abubakar
* Husna Sekiboko
* David John Mwakiposaa
* Edward Jonas Mpogoro
* Mtela Mwampamba
* Hashimu Komba
* Gift Isaya Msuya
* Jasinta Venant Mboneko
* Ally Nyakia Chilukile
* Faiza Suleiman Salim
* Adam H. Mzee
*Lameck Lusesa
Mwisho.Tunapongeza sana mamlaka za uteuzi kwa kuweka imani hii kubwa kwa vijana. Ahsante Dr.Magufuli kwa kutuamini vijana.
Nilitaka nikujibu kwa mifano harisi kutoka utawala uliopita ila sitafanya hivyo, elewa tu, kama mbunge wako ana elimu ya huku na kule alafu yuko ndani ya kamati na mnamwona ni think tank katika chama chenu why not to a professional one, who forms that small part of the so called elites in your country? Unamaanisha hawa walioteuliwa hawana elimu ama ni kelele tu kama kawaida yenu? hebu kuwa straight on your doubtsunavyosema affiliated na siasa una maanisha nn? taratibu lazima zifuatwe.
Nilitaka nikujibu kwa mifano harisi kutoka utawala uliopita ila sitafanya hivyo, elewa tu, kama mbunge wako ana elimu ya huku na kule alafu yuko ndani ya kamati na mnamwona ni think tank katika chama chenu why not to a professional one, who forms that small part of the so called elites in your country? Unamaanisha hawa walioteuliwa hawana elimu ama ni kelele tu kama kawaida yenu? hebu kuwa straight in your doubtsunavyosema affiliated na siasa una maanisha nn? taratibu lazima zifuatwe.
Ha has!......niliowataja wote waandike maumivu kumbe si wa dini yetuImeandikwa ..hatutaishi kwa sukari!
Wivu wa kike unakusumbua, hata kama CDM wangepewa nchi vijana wa CDM ndiyo wangeteuliwa.Tulidhani tumepata Raid ambaye anamacho ya kuuna mzaha kwa sura take. Niliamini Nonsense sasa imekosa nafasi.
Utumishi wa umma mnapeana zawadi tena waziwazi.
'Darwin's nightmare'
Kweli Umasikini Huanzia kichwani sio mikononi.
Alivyoanza Magufuli Hapafanani na uteuzi huu wa Wampum I za Vuvuzera.
Rais ameishiwa pumzi amerudi kuwasikiliza walewale.
Eti yanapongezana, aibu ya mama Afrika.
Tulihitaji kuliepuka taifa LA uchaguzi. Tufuate new destination. Taifa LA maendeleo.
Kwa mtindo huu kumbe Magufuri hana anachokiamini Tutasubili sana.
Mkuu kwani wewe ulitaka ateuliwe nani? Hao walioteuliwa una uhakika hawatafanya kazi? Au kwa vile ni wapinzani wako kisiasa ndio unasema hivyohuu utaratibu wa kupeana vyeo kwa fadhila kiasi hiki kinashusha ufanisi serikalini. makatibu tawala ni wataalamu. huwezi kuwaingiza wanasiasa katika nafasi hizi. kwa hili rais ameteleza....
Mkuu Rweye hebu tujadiliane kwa hatua na kwa hoja...si kwamba hawana elimu ila hawana vigezo vya nafasi hizo,zaidi ya elimu,hizo nafasi zina vigezo vya ziada ambavyo hao wateuliwa wengi wanakosa!!Na hivi vigezo si vya kisiasa bali vya kisheria z kiutumishi....Nilitaka nikujibu kwa mifano harisi kutoka utawala uliopita ila sitafanya hivyo, elewa tu, kama mbunge wako ana elimu ya huku na kule alafu yuko ndani ya kamati na mnamwona ni think tank katika chama chenu why not to a professional one, who forms that small part of the so called elites in your country? Unamaanisha hawa walioteuliwa hawana elimu ama ni kelele tu kama kawaida yenu? hebu kuwa straight in your doubts
Cheo hiki si cha mwanaisiasa bali cha mtumishi ambaye ni Parmanent and Pensionable...anatakiwa mtu aliyekulia ndani ya utumishi wa umma hata kwa miaka kumi,mwenye uelewa wa "Organizational Culture" ya ofisi za umma hasa kwa upande wa utumishi
Nilikuwa mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya kuamua kujiaajili na baadae kuajiliwa na mashirika ya Kimataifa.Nimeipigania nchi yako ndani na nje ya nchi.Wakati wewe ukiwa umelala na mke wako mimi nilikuwa mpaka wa Tz na Burundi kuhakikisha adui haingii kukuondolea wewe furaha ya kukumbatiwa na mkeo.Organizational Culture iliyokuwepo haikuwa nzuri.Kulikuwa na utendaji mbovu mno serikalini.Kuuondoa huhitaji kuwa na hao waliokuwepo.Njia anayotumia Raisi ni kuleta watu wapya watengeneze new culture.Hiyo culture yako ya zamani mliyokuwa nayo hiyo miaka 10 baki nayo mwenyewe.Haikutusaidia kama nchi kutoka kwa spidi kiutendaji ndani ya serikali.
Kama wewe ndio wale vikongwe wa serikalini unatakiwa ujue kuwa kuna new organization culture inakuja kama kimbunga.Jipime utaiweza au huiwezi.Kama huiwezi tupishe tupite acha kazi serikalini upesi kabla ya kutumbuliwa kwa kushindwa kuendana na kasi
Nakupongeza kwa devotion yako kwa ajiri ya nchi yetu, huo ndo uzalendo mkuu.Nilikuwa mtumishi wa umma kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya kuamua kujiaajili na baadae kuajiliwa na mashirika ya Kimataifa.Nimeipigania nchi yako ndani na nje ya nchi.Wakati wewe ukiwa umelala na mke wako mimi nilikuwa mpaka wa Tz na Burundi kuhakikisha adui haingii kukuondolea wewe furaha ya kukumbatiwa na mkeo.
Nimekaa mpaka wa Tz na Rwanda kwa muda mrefu,usiku na mchana kuhakikisha Watutsi hawaingii na kuivuruga mikoa ya pembezoni,wakati wewe ukijikinga na mvua ndani ya paa la nyumba yenye gypsum mimi nilikuwa chini ya handaki lenye kurunzi hafifu...wakati wewe ukirudi kila jioni na kuwaona watoto wako na afya zao nzuri,mimi nilikaa mwaka mzima bila kuwaona wanangu,lengo ni kuhakikisha amani unayoipata wewe na watoto wako iendelee kudumu.
Ulipokuwa unatoka "out" na hawala yako na kumuacha mke na watoto nyumbani,mimi sikuwa na nafasi hata ya kutoka na mke wangu halali wa ndoa..Katikati ya misitu ya Congo nilibeba nembo ya Taifa lako,nadni ya mito na misitu minene yenye wanyama wakali niliipeperusha bendera ya Taifa lako.
Kwenye milima ya Lebanon na mipaka ya Israel nilisimama badala ya Taifa zima.Katikati ya mapango ya Hezbolah niliinama na kuikumbuka Tz ambayo wala sikuwaza kama ni ya CCM wala ya UKAWA bali Tanzania ya Watanzania,kule hawakunidhihaki wala kunikebehi sbb wanajuwa thamani ya mtu kuacha nchi yake na kwenda kutunza amani ya watu wengine.
Kwenye kingo za mto Litani ndipo nilipojipoza na joto la Lebanon,Mji wa Naquora ndipo nilipookoa maisha ya wamama na watoto waliokuwa wanateseka kwa kukosa msaada,hapa nilizalisha wamama bila kuwa na elimu ya Ukunga sabab ya mishituko ya mabomu na mizinga,hapa ndipo nilipoona machozi na sala za wamama wakiniombea kwa Mungu wao kwa kilio na machozi.Sidon na Beat Jbail,Tibnine na Tibnin nimeacha nembo ya Taifa langu na si ya chama chochote.
Unapojadiliana humu usijadiliane na kila mtu ukadhani ana maslahi ya kisiasa,Organizational Culture si kuleta watu wapya,bali ni kubadili kanuni,taratibu na sheria.Nafasi za DAS na RAS haziongozwi na hisia na teuzi za kisiasa bali kwa kanuni na sheria....Ndio maana kuna Gvt Standing Order.Katika GSO tumejiwekea utaratibu wa vigezo vya DAS na RAS...Zaidi ya kuwa na Elimu kama sifa ya kwanza,bado kuna vigezo vingine.Moja wapo ni kuwa umetokana na utumishi wa umma na si "fadhila za siasa".
Unamteuwa DAS bila kuwa na Vimvuli vya vyeti vyake??Kijana acha mahaba "mse...nge"....DAS ni matokeo ya utumishi wa umma uliopatakana kwa usaili na promotion yake ni ya uteuzi....Sasa unakuwa na DAS wa Uteuzi bila usaili na bado unajiona wewe ni mfuasi wa "Kanuni,Taratibu na Sheria?".....Shika adabu yako bwana YEHODAYA