okay karibu CCM
jamani hoja!!!!Huyu Tegambwage kwa kihaya maana yake ni mtu asieongelewa vizuri na watu,ni muhuni alikuwa mbunge wa NCCR Muleba kaskazini 1995-2000 akafanya uhuni kuanzia alivyopata ubunge mpaka anamaliza muda ndo tulimuona jimboni akiomba kura tena,tena anyamaze kabisa muhuni tu. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Good analysis, Zitto unakazi ya kututhibitishia Kuwa wewe siyo mbinafsi kama tunavyo kutazama sasa huku nje.
fanya uchanganuzi mwenyewe uone alichoandika kama hakina mantiki, ushabiki maandazi hauna maana katika kipindi hiki ambacho umeme umepanda maradufu na hali ya maisha inazidi kuwa mbaya kila ukicha...
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
zzk kawaleta uvccm mahakamani, waratibu wa vijana hao wa zzk ni ccm; zungumzia na hili.
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. ""Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza ] Sikutarajia kama huna uwezo wa kuchambua mambo
Huyu Tegambwage kwa kihaya maana yake ni mtu asieongelewa vizuri na watu,ni muhuni alikuwa mbunge wa NCCR Muleba kaskazini 1995-2000 akafanya uhuni kuanzia alivyopata ubunge mpaka anamaliza muda ndo tulimuona jimboni akiomba kura tena,tena anyamaze kabisa muhuni tu.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kumkuta sio kinga ya kumshughulikia akifanya madudu.Hata kama chama angekianzisha yeye sasa amekuwa huni ashughulikiwe tu.
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. ""Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza ] Sikutarajia kama huna uwezo wa kuchambua mambo
Haya maandishi nimekopi sehemu,ingawaje baadhi nakubaliana nayo kama mwandishi alivyoelezea.
TEGAMBWAGE M.S.E.N.G.E sana katupotezea muda muleba kaskazini tukiwa sekondari kwa kitabu chake duka la kaya ; laana itamurudia kaua mji wa kamachumu kwa kuzuia kuwa wilaya , kakimbia ata nyumba ya kufikia ana ; aende CDM ; Mjinga mkubwa ; Mpaka leo mji umedumaa na mpiga kampeni wake mkuu marehemu padri kapilipili
Yuko sahihi kabisa. Ni kama maisha ya ndoa, mume anatoa talaka kwa mke kwa tuhuma kuwa mke huyo ni kahaba( na anatoa ushahidi) na mchawi nao ushahidi unatolewa. Kisha mke anaenda kanisani/ mahakamani kupinga ndoa kuvunjika na huko hukumu inatoka kuwa ndoa hiyo haiwezi kuvunjika kwa vile ilifungwa kanisani na ndoa ya kikristo haivunjiki hadi kifo hivyo jamaa amchukue tuu mkewe na waendelee kuishi.
Lakini jee kuna ndoa tena hapo?
Huyu alihusika sana kuiua NCCR Mageuzi! hivi yuko chama gani kwa sasa?
Kazi nyingine ni tamko la Mzee Mkono (mpaka sasa hajakanusha).
ZZK alisema ana Freelander na Carina ambayo inakaaga Mwadiga.
TL akasema amehongwa NISSAN Patrol na Land Cruiser
Mzee Mkono akasema amemuuzia Patrol na 'anamkodisha' Landcruiser tangu mwaka 2009.
Nisani Patrol Zito alikuwa nayo mwaka 2011 na akwauliaz wahindi wanachimba madini Mpanda, kuna mtu amenitonya kuwa hata landcruzer nayo aliwauzia wahindi hao hao, kwasasa nazitafuta nizipige picha.
kwa wale wachache tunaomfahamu Ndimara tengambwage, tunajua kuwa huyu hajawahi kuongoza wala kujiongoza, ni mfuasi na mshabiki katika miaka yote yote ya maisha yake!!!(bado tunamkumbuka kipindi akiwa NCCR)
amejidhihirisha kuwa yuko kundi la WAJINGA wanaodhani ZZK anapambana na chadema.
hawataki kukubali kwamba yeye zzk ndio chadema na wale anaovutana nao ndio wanaotaka kuharibu chama, hawa wazee wanaozeeka wakiwa masikini wa kipato wanageuka kuwa masikini wa kiakili,mawazo na fikra