Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

TEGAMBWAGE M.S.E.N.G.E sana katupotezea muda muleba kaskazini tukiwa sekondari kwa kitabu chake duka la kaya ; laana itamurudia kaua mji wa kamachumu kwa kuzuia kuwa wilaya , kakimbia ata nyumba ya kufikia ana ; aende CDM ; Mjinga mkubwa ; Mpaka leo mji umedumaa na mpiga kampeni wake mkuu marehemu padri kapilipili

mkuu hukuna wahaya wapumbavu kama wewe and unaweza kuwa mnyarwanda.Mimi natoka kijiji kimoja na Ndimara unayoeleza ni upuuz na si kwel badala ya kujadil hoja we unakuja na viloja.Tangu 2000 up to date mleba kaskazin inaongozwa na ccm mbona kamachumu haijawa wilaya?
Ndimara katoa hoja ichambue kulingana na hali iliyopo na si kujidhalilisha.
 
huyu ni msukule wa mbowe unategemea angeandika tofauti na alichokiandika?ningeshangaa.
Unaonaje kama ungejibu hoja zake? Mfano hi statement hapa, "Unaweza kwenda mahakamani – ukashitaki waliokuvua uanachama; na unaweza kushinda. Tatizo la kushinda mahakamani, katika siasa, ni kama kushindwa. Hii ni tofauti na kudai fedha. Unaweza kushinda na kujifariji kuwa umeonyesha jinsi ya kujipigania; lakini huwezi kushinda mahakamani na kurudi kufanya kazi za siasa na wale waliokuvua uanachama"
 
Mahakama siyo Chombo cha uadui, ni Chombo cha kudai haki
Ni matumaini yangu Viongozi wa Chadema watakuwa Wakomavu kisiasa na hivyo kuendlkea kufanya kazi na Zitto iwapo atashinda rufani yake katika baraza kuu

Na pia ni matumaini yangu Zitto atafanya kazi na viongozi wa Chadema bila kinyongo iwapo atashinda rufani yake katika baraza kuu.
Chadema itabidi iunde tume ya maridhiano na kusameheana ili "yaliyopita si ndwele tugange yajayo".

Pamoja na Uchambuzi mzuri wa Ndimara Tegambwage, ILA AMESAHAU OPTION MOJA AMBAYO NI "KUSAMEHEANA" KWA PANDE ZOTE MBILI BAADA YA SINTOFAHAMU NA KUKURUKAKARA ZOTE KUTOKEA.

MIMI NINASEMA INAWEZEKANA KWA PANDE ZOTE MBILI KUSAMEHEANA, KAMA MANDELA ALIWASAMEHE MAKABURU, ZITTO ATASHINDWAJE KUWASAMEHE WANAOMPIKIA JUNGU?

AU MBOWE ATASHINDWAJE KUMSAMEHE ZITTO KWA YALE ALIYOMKWAZA NAYO?.

Hoja ya Zitto kutokutakiwa Chadema ni hoja ya Kijinga, Kama Chadema ni kambi ya Mbowe basi Kweli hatakiwi, Lakini kama Chadema ni Ya WanaChadema kutoka nchi nzima basi Zitto anatikiwa, na Baraza Kuu ndiyo Chombo kitakachohitimisha hili

Kwanini wafanye kazi na mtu aliyewaita Vifaranga? Na kwanini timamu awe tayari kufanya kazi na vifaranga?
 
nakubaliana na wewe ktk hili
Tatizo ni pale maamuzi ya kumshughulikia mtu yanapofanywa kwa hisia,kama kungekuwa na ukweli wa mambo sidhani kama ungesikia watu wakipiga kelele,kuna mangapi yamefanyika ndani ya chama na hakuna aliyelalamikia juu ya maamuzi husika.
Ni kweli kuwepo chamani muda mrefu hakukupi hadhi ya kukiharibu chama,lakini pia vyama hivi ni vyema vikawapa wanachama wao uhuru wa kuhoji mambo.
Kumbuka,mzee Mtei anasema maamuzi ya cc ndio ya mwisho,je kulikuwa na haja gani kuwa na katiba inayoruhusu mwanachama kukata rufaa ktk ngazi ya juu?

Mkuu, samahani kidogo, nahisi wewe haupo Tanzania na kama upo hapa Tanzania basi sio mfuatiliji wa mambo ya siasa za Tanzania. Mwenendo wa zzk kwa kila mpenda mageuzi na mfuatiliaji wa siasa za Tanzania ulikua unatia mashaka sana, hivi hata yule aliyefungia gazeti la ----------- si aliwahi kusema kufungiwa kwa gazeti lile mkono wa zzk pia upo? But unajua kilicho muudhi zzk kwenye gazeti hilo? Gazeti lilifumania mawasiliano yake na vigogo wa usalama wa taifa pamoja na viongozi wa ccm ambao CDM imekua ikiwatuhumu sana, kumbuka pia uchaguzi mkuu uliopita usalama wa taifa walituhumiwa sana kabla na baada ya kupiga kura, wengine hatuna chama lakini kwa zzk, he better go to hell! Halafu katika hotuba zake 10, labda 2 tu ndio zitakua zinamwelekeo wa kujenga chama, 8 ni kujijengea umaarufu binafsi tu.
 
Back
Top Bottom