Asante Mungu Kwakunipa Ajira

Asante Mungu Kwakunipa Ajira

Habari zenu wadau,
Napenda kutumia fursa hii kumshukuru Muumba mbingu na nchi kwakunipatia ajira hatimaye na mimi sasa natoka asubuhi na kurudi jioni.Vilevile napenda kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba kukata tamaa ni mwiko na mjitahidi kutuma maombi ya kazi pindi zinapotangazwa na ipo siku Mungu atawajaria.

Hongera sana mkuu

Fanya kazi kwa bidii
 
hongera sana mkuu usisahau limbuko kwenye first salary na zaka utabarikiwa xana may the almight God be ahead of u at ur job.goodluck
 
Back
Top Bottom