Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Usikilize kwa wema sala za jamaa hii iliyo hapa mbele yako, yaani mtumishi wako baba mtakatifu wetu Francis wa 1, askofu wetu . . . . . . . . pamoja na taifa lako lote!
Like...!!!

Ni tukio tulilosubiri kwa hamu
na tushukuru mungu kwa kutupatia
kiongozi mpya wa kanisa katoliki
mungu amuongoze ili nae aweze kuongoza kanisa!
ameeeen!
Lov hongera sana! Furaha yako furaha yangu!
Yan asbh lazma niwahi misa ya saa kumi na mbili na nusu kumshukuru Mungu.
Yah,mkuu,nipo na shemeji yako hapa ameniandalia za kutosha!!
Kesho unitumie malimao kwa tigo-pesa.
Namba yangu ni 0654000000
Dogo letu manoah kakosea kuandika badala ya kuandika mwanzo kajikuta keshaandika mwanza. Kama una mpango wa kwenda MZA wajulishe kina Elizabeth Dominick wakupake kashfa.
Hahahahaaa Elizabeth Dominic lazma ajue na charminglady pale nitakapokuwa nakwea JK(Fast Jet) kuelekea jijini Mwanza ila kwa sasa Kipipi na Amyner ndio mpango mzima kwa raha zangu Arushaone
Usikilize kwa wema sala za jamaa hii iliyo hapa mbele yako, yaani mtumishi wako baba mtakatifu wetu Francis wa 1, askofu wetu . . . . . . . . pamoja na taifa lako lote!
Hahahahaaa Elizabeth Dominic lazma ajue na charminglady pale nitakapokuwa nakwea JK(Fast Jet) kuelekea jijini Mwanza ila kwa sasa Kipipi na Amyner ndio mpango mzima kwa raha zangu Arushaone
":majani7:Unanionea tamaaaaaaaaaaaa":majani7:hahahaaa......... ushaliwa wewe.... Wacha wengine wafaidi!!!!!!!!
Lione!