Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Mkuu hongera sana sana..huyo ndio mke wa dunian na akhera. Watu tunaomba usiku na mchana tupate mke bora ww tayar upo ktk hlo. Mungu amjaalie ukhty ajifungue salama na mtoto awe salama rabil-laala meen.
Mkuu we shabiki wa stoke city nini?
 
Huyo ndio sample ya mke, wanawake eleweni hili.
Alafu kumbe bado wapo hawa wanawake, nikajua waliobaki ndio ile type tu kuweka mbegu na kusepa.
 
Wengi huwa wanageuka vivuruge wa familia aisee maugomvi ugomvi tu
Kuna family frnd flani hivi..kuna huyo kaka ana mke ..tena mahusiano yao yalikua yale yakuanzia chini kabisa yani mwanaume hakua na kitu..wakapambana hadi wakawa na uchumi mzuri..wakajenga mijengo ya maana magari ya kifahari..sasa bahati mbaya yule mwanamke hazai..Baba wa yule kaka akaamua amtafutie kijana wake mke mdogo..mke mkubwa akaruhusu..yule kaka akaoa baada ya muda mke mdogo akaleta kidume..kazi ndipo ilipoanza sasa..nayeye akajengewa nyumba..ikanunuliwa gari kwa ajili ya mtoto .

Yote hayo mke mkubwa alikua anayaruhusu yeye..akazaliwa wa pili nae kidume..yule mke mdogo akaanza vitimbwi matusi na kashfa kwa mke mkubwa..mume nae hakawa haambiliki wala hashikiki..yule mke mkubwa alikonda na kupauka juu..mwanaume anaweza maliza hata miezi miwili kwa mke mdogo na siku akienda kwa mke mkubwa ujue basi yule mke mkubwa ataoga matusi hatari

MUNGU SI ATHUMANI jamani..yule kaka sasa hivi ni wa ovyo ovyo..kazini anayumba..na ninavyokuambia juzi tu ametoka kutolewa dhamana polisi

Mke mkubwa bado yupo tu na yeye ndie aliekua anashughulikia kesi ya Mumewe
 
Mkuu sie ndio sisi tusiopenda pressure. Hatuwaz ubingwa wala top four.
 
mke mkubwa ana imani, moyo wake bado una mapenzi kwa mumewe jaman ndoa za wake wenza zioneni tu hakuna kitu kigumu kama kujua unashare maumbile ya mume wako na mwanamke mwengine japo dini inaruhusu lakini aisee bora awe mwema huyo mke ajaye
 
mke mkubwa ana imani, moyo wake bado una mapenzi kwa mumewe jaman ndoa za wake wenza zioneni tu hakuna kitu kigumu kama kujua unashare maumbile ya mume wako na mwanaume mwengine japo dini inaruhusu lakini aisee bora awe mwema huyo mke ajaye
Madame s kwa hiyo haukubaliani na ndoa za wake wanne
 
Binafsi mke wa kusali hivyo usiku wa manane, mcha Mungu sana, too innocent naona hatutaendana. Kweli kila mtu na ubavu wake.
Tuko tofauti mkuu,mimi wa hivyo ndio napenda,mwanamke akiwa mcha Mungu quality nyingine zote atakuwa nazo automatically,mpole,mwenye upendo,mvumilivu,sio muongo,sio mbishi,sio mgomvi,sio msaliti,sio mshirikina,sio mlevi,mwenye huruma n.k.n.k.yaani nyumba itakuwa na amani ya ajabu,haya malalamiko ya wanaume unayosikia humu huwezi kuyasikia kamwe na ndicho wanaume wengi kama si wote tunakihitaji..
 
Madame s kwa hiyo haukubaliani na ndoa za wake wanne
Dear, nakubaliana nazo sana sana, siwez acha mume wangu azini nje et kisa sitak kuolelewa mwenzangu dini inaruhusu aoe ila tu uwezo wake wa kutuhudumia awe anao sio akaoe aanze mateso kwangu japo baada ya muda ndoa itaanza kuyumba tu
 
Binafsi mke wa kusali hivyo usiku wa manane, mcha Mungu sana, too innocent naona hatutaendana. Kweli kila mtu na ubavu wake.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamani jamani kaka Ely loh!
 
One in a million! Hongera sana
 
Mm eti niende kuimuowa yule, taari ameshazalishwa watoto watatu, apana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…