Asante Mungu, asante JF. Nimepata ajira!

Asante Mungu, asante JF. Nimepata ajira!

hongera mkuku.ucsahau kutoa sadaka ya malimbuko.b blecd
 
Fungu la kumi huwa linatolewa kanisani, Ukipeleka fungu la kumi kwa yatima na wajane uanondoa maana ya fungu la kumi
usitoe sadaka kwa kuangalia mtu

(Deut 14:28 [ESV2011])
“At the end of every three years you shall bring out all the tithe of your produce in the same year and lay it up within your towns.

(Deut 14:29 [ESV2011])
And the Levite, because he has no portion or inheritance with you, and the sojourner, the fatherless, and the widow, who are within your towns, shall come and eat and be filled, that the LORD your God may bless you in all the work of your hands that you do.

upo hapo? acha kusoma maandiko kijuujuu
 
Pia usije bugia mshahara wa kwanza ni wakfu kwa BWANA, malimbuko kwa BWANA. Kumbuka ulikaa siku nyingi bila kazi na BWANA alikuwezesha kuishi, usijeanza ponzwa na ...oooh sasa mimi ntaishije, mara oooh wenzangu watanicheka nikionekana naishi maisha ya standard ya chini oficini, unakimbiakimbia kwenda kukopa hela kwa watu ili uishi maisha ya juu oficini halafu utumie mshahara wa kwanza kwenda kulipa madeni,

The Feast of Firstfruits

Leviticus 23:9 And the LORD spoke to Moses, saying, 10 "Speak to the people of Israel and say to them, When you come into the land that I give you and reap its harvest, you shall bring the sheaf of the firstfruits of your harvest to the priest
 
Hongera sana Kalamazoo.dah mimi mwaka umekatika na miezi mitatu tangu nimalize chuo ila bado nasota na bahasha

sasa wewe
Post: 4
Rep power: 0
Likes Recieved: 0
Likes Given: 0

Na unategemea JF ikutoe?
 
Hongera zako Mkuu na kila la heri katika ajira yako.

wadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain
 
imeandikwa wapi......??????

Amri ya kutoa fungu la kumi, au sehemu ya kumi ya mali ya mtu ilikuwa sehemu ya Sheria ambayo taifa la kale la Israeli lilipewa. Hata hivyo, Biblia inaonyesha wazi kwamba Sheria hiyo—kutia ndani “amri ya kukusanya sehemu za kumi”—haiwahusu Wakristo.—Waebrania 7:5,18, Wakolosai 2:13, 14.
 
mkuu RUTUNGA M. Nimekusoma kaka! Umetisha,you remind me back
 
We unayemshauri mwenzako atoe fungu la kumi....we unalitoa na umekuwa mwaminifu kulitoa kwa kila chochote ukipatacho????
Jijibu moyoni ambako Mungu anakusoma.
 
wadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain

Hongera sana kijana wetu na kwavile umemtanguliza Mungu kwa kumshukuru endelea mbele ukimtarajia na kumtumtegemea kwamba atakusimamia katika ajira hiyo mpya. Kumbuka kurudisha fungu la kumi katika msahara wako kila mwezi utaona makubwa zaidi katika ajira yako.
Mungu akubariki sana na umeonyesha shukrani kwake Mungu na Jamii forums.

Ninayeandika hapa nimefanikisha mambo yangu mengi sana kupitia mtandao huu nami ninawashukuru pia JAMII FORUMS na SIFA na Shukranui zimrudie MUNGU wetu.
 
Chapa kazi ili tulijenge taifa. Punguza kupoteza muda saa za kazi kwa kufanya mambo yasiyo na tija,
 
Back
Top Bottom