wadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain
imeandikwa wapi......??????Fungu la kumi huwa linatolewa kanisani, Ukipeleka fungu la kumi kwa yatima na wajane uanondoa maana ya fungu la kumi
usitoe sadaka kwa kuangalia mtu
mmmh sasa hiyo moja ya kumi aipeleke church kwa kakobe au akawape masikini?akishapata mshahara wa kwanza.
Hongera sana
Kutoe fungu la kumi kanisani.
Hongera kijana,,;, pia usisahau kuichangia jf isonge mbele!!!!!!"!!"""
wadau mambo vp? Niko hapa kuwa encourage kutokata tamaa katika kusaka ajira sababu after long struggle nimefanikiwa kupata job serikalini. Nashukuru jf kwan nililipata tangazo lile hapa hapa and lord hear my felt need. Muhimu omba mungu sana na saka fursa sana. Nawatakia kila laheri katika harakati za kusaka ajira, no pain no gain
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT.
Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka kazi, sasa wadau naombeni ushauri au support yeyote sababu hali ni tete.
Wanaojua NGO's zinazo deal na conservation please let me know... Nipo pande hizi za arusha
siwapendi wafanyakazi wa serikalini
1. Uzembe,
2. Hawana direct accountability
3. Rushwa(kwa kusingizia low salary TGS)
4. Hawakumbuki hiyo kazi sio yao, wanataka heshima na recognition
Kijana angalia haya usiwe nayo