Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,775
- 2,750
Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja dhaifu za Dk Slaa, Amesema CHADEMA siyo mali ya Dk Slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, CHADEMA ni mali ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao.
Haiwezekani mtu na mke wake wajifanye CHADEMA ni mali yao.
Chanzo: ITV habari saa 5 usiku.
Haiwezekani mtu na mke wake wajifanye CHADEMA ni mali yao.
Chanzo: ITV habari saa 5 usiku.