gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Kwakweli Tv E dada ya efm inasumbua mtaani kwa sasa baada ya rasmi kuanza kuonekana dstv channel 295 , yaani ni burudani kwenda mbele asubuhi hadi jioni , picha angavu kabisaaa
Heheheheiyaaa clouds tv itabaki kuwa tv ya matamko ya Makonda na matangazo ya naifingua dunia..
Hongera sana Baba Lulu kwakweli mmetuletea burudani mtaani na mnapiga nyimbo za wasanii wote bila ubaguzi