Asante M-PESA kwa gawio

690

Na hapo kila siku lazima nitumie MPesa

Wale wa mwezi mara moja sijui wamepewa nini [emoji23][emoji23]
 
Mimi 1250 ila kuna mwaka nilipata 9220 nahisi ukitumia sana M-PESA gawiwo linakuwa kubwa maana kuna mwaka nilitumia sana M-PESA issue za ujenzi
 
Imethibitishwa.Umepokea Tsh722.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 23/6/19 saa 6:54 AM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh.
 
6FM62G3BIBA Imethibitishwa.Umepokea Tsh190.00 kutoka 219777 - M-PESA FAIDA tarehe 22/6/19 saa 6:51 AM Salio lako ni M-Pesa ni Tsh190.00
 
Ee unafikiri pesa inakaa tu mpesa kuwapa watu faida, pesa inazunguka kuleta myingine mkuu, umeweka laki mpesa mwezi, unapata gawio la 2000, ungeizungusha hiyo unapata kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…