kijana kuna uwezekano umekutana na masantura...na sasa waisifia mvua iliyokwishakunyea
Lol mwakq mpya na mambo mapya yaan
kwa bahati zuri chote ulichokiandika juu sijakielewa, kwa hiyo ujumbe wako haujampata mlegwa au fanani amefeli kufikisha ujumbe wake kwa hadhira.
still skipping your english classes?
Kichapo cha mbwa mwiziTeh Teh
Kwa hiyo umepanga kumpa zawadi gani akanana lara 1?
Hata mie naona kweli mwaka mpya huu
haha owkay tufanye mimi bado zombie mkuu,ata kama ni makombo,it makes me feel damn good. how about that?
Hivi ulisema umekagonga kale katoto ka majani wa bongo record?
Usiwe na wasi kabisaamkuu, ukizileta uni mensheni...
mkuu leta siri jamvini, hii ishakua vita
Yaani apa mtu adi agundue ni mm afanye kazi ya ziada lol.....ww umejuaje ni mm