patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 288
- Thread starter
-
- #21
kwahiyo mwendo ni kupata game na kutulia na castle milk basii.....
kumchek na kujua ratiba yake na kumtake out wheneve is free, akawa anajibiwa kwa bando la mwezi mzima akidai crdt imekata etc.
And finally umechukua wiki mbili tu kukamilirha haya na kupata mzgo!
I smell lies
miaka mitatu sijanyoosha maelezo,au alitaka ni print mtongozi nimpe akasome?
we acha tu mkuu,it is better we just play ugly
inawezekana pia....na labda akajua wew ni "just a friend"
why would you abandon a proven working strategy
2015 hamna cha u friend zone,naomba ielewe binti alitongozwa akazingua. ikabidi lara 1 atoe plan B
yani mie mwanaume ambae anakuja kwa nguvu nyingi tena ya kutumia pesa.....kabla sijamkubalia ombi lake mara nyingi naona anakuja kunitumia na kuondoka.......bora mwanzo uwe mpole....nikishasema Yes....ndiyo unaweza kutumia pesa.....hii kidogo inanijengea imani kuwa hautanitumia......lakini kwenye kuleta maombi unakuja ya wallet....kha natoka nduki....mana najua hii mbinu umeitumia kwa wengi.....na umewapata wengi kwa mbinu hii.......
ha ha ha ha ha
aiseee aibu naona mimi nakwambia
We bado zombie tu, hatua moja ndo vigelegele vyote hivyo.
I'm sure you have just hit a looser who is desperate. Kifupi, makombo
and why not......? proven doesnt mean can not be change.....
Akuu Mwenzangu Mi Janaume Mingne Ina Macho Makavu. Anaku2mia Mara Ya Kwanza Olaa, Mara Ya Pili Hata Nauli Hakup, Mara Ya Tatu, We Hata Kama Nataka Nisionekane Kcheche, Huyo Hata Akikuoa Utaishia Ku2mia Mshahara Wako, Simanish Wafanye Hvo, Na Asilimia Kubwa Waume Kw Sasa Weng Wanakua Ni Watumiaj Na C Kuoa, Na Kama N Mume Toka Kwa Bwana Automatically Mambo Yanajipa Bila Hata Mia,
kwanini turudi kwenye experimentation wakati tushapata positive results
Isijekuwa binti mwenyewe kasanda nowadays ndo maana kakupa mzigo halafu wewe unadhani nondo za mdau ndo zime-work out.