Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Post yenyewe inapatikana hapa;

Kilango sasa awageukia akina Slaa

For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did.

It goes without saying that I have been very impressed with many member's contributions on various topics. But I must admit that at times I have been left wondering and disappointed with those that tend to go off-topic. This is one reason why it took me so long to register. I promise, with this being my first ever, to stick to the point and hope that most of us in here who really have love for our country Tanzania, will continue to contribute mature and constructive ideas on how we can salvage a country that is surely headed for the rocks.

I will try not to offend anyone but will come down hard like a ton of bricks on anybody - and I mean anybody - who will try to derail this noble cause. The country is going to the dogs and nobody but its true and humble citizens like us can save it. I am proud of two things i.e. one, at over 50 I have never voted in any general election and two, I have never been a member of any political party.

And now to the subject. Anybody who at this point in time is still a member of CCM by deed and creed can not be expected to help bring change without moving out. Anybody who up to now still believes that the leadership we now have in Tanzania can take us out this murk is in a dream and needs to wake up fast. Ana Kilango is such person and how I pity her and those that believe in her tantrums.

Finally this being my first contribution, may I apologize to all those I may have offended in my anger in relation to what I call cancerous proliferation of my beloved country, Tanzania.


Mag3
 
Lengo langu katika kuibua post yangu hii ni kwamba kwanza, kukiri sijawahi kupiga kura wakati wowote katika maisha yangu na pili ni kwamba sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ni kweli nimewahi kusifia harakati za vyama mbali mbali katika kupigania haki, uhuru na usawa na kwa sababu hiyo nyakati zote nimejenga imani kuwa adui mkubwa wa taifa letu ni CCM, full stop.

Kutopiga kura kwangu hata mara moja kumesababishwa na mambo mengi kubwa kule kutoridhishwa na utaratibu wa upigaji kura nchini na pili kutokuwa na imani na usimamizi katika hatua zote za upigaji na kuhesabu kura. Natoa taarifa kwa ndugu zangu Watanzania, pamoja na kuwa na makovu ya kudai vyama vingi, sijashawishika kujiunga na chama chochote na CCM ndio kabisa, sina wazo. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom