Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,045
- 22,735
- Thread starter
- #61
Ndugu yangu, kwa Katiba na mfumo wa sasa, kweli unaamini kura yako ina maana yoyote? Wanapojisahau hawa viongozi wetu, wanajikuta wakitoa kauli ambazo zinaweza kutolewa tu na walevi wa madaraka...Mkuu heshima kwako. Unasomeka vyema.
Hili la kutopiga kura limeniuma. Yawezekana kuna wengi kama wewe ambao hatupigi kura.
"Don't boo, vote." Alisisitiza Obama.
Pamoja na yote, tusikate tamaa na kuwaachia kina Mbowe vita hivi peke yao.
- Msipigie kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata mkipigia kule, Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
- CCM hata akibaki mtu mmoja tutashinda tu na hatutaachia dola hata iweje
- Mkuu wa polisi Mkoa akimfokea kiongozi wa upinzani, "Hushindi, nakuambia hushindi wewe"
- Nikulipe mshahara halafu umtangaze mshindi mpinzani, thubutu!