Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

Kila mtu humu anajifanya ooh tupo pamoja ooh tupo pamoja wakati wengine hata kadi za Chadema hamna.
 
Hongera Dr. Slaa, kazi nzuri sana inayoonekana kwa vitendo Wanzania tumeiona (na hata Mataifa mengine) CCM wametumia serkari yote ya sasa na awamu ya tatu pamoja na tume kuhakikisha wanachukua sio wanapewa ridhaa ya kuongoza jimbo la Igunga.

Wamemlamba viatu RA awape kampani (wametumia nguvu kama ya uchaguzi mkuu). Tusikate tamaa, kila jambo lina wakati wake, hata Nyerere alipata misukosuko wakati anatafuta uhuru ambao magamba leo wanauchezea!

Kila la kheri wapambanaji
 
Kila mtu humu anajifanya ooh tupo pamoja ooh tupo pamoja wakati wengine hata kadi za Chadema hamna.
Wanamwambia nani tupo pamoja, CCM au CHADEMA? Kwanini wamwambie wanaemwabia kuwa "tuko pamoja" na sio mwingine? Dr. Slaa wakati anazindua Tawi pale Mzumbe chuoni alikubalina na Dr. Rwaitama kuwa wanaopenda na kuikubali na hata kuipigia kura CHADEMA ni Watanzania wenye upendo na Taifa lao sio wana CDM pekee! Hivo usije kuwa na kadi ndio kigezo cha upendo kwa Taifa, japo sio mbaya kuwa na kadi.
 
Asante dr.kilichobaki kuanza kudili na vijijni huko kuelimisha watu na kufungua matawi ya chama.
 
Hiii ndo inatakiwa kuwasifu watu wa Igunga.Ukweli wameujua hilo ni jimbo letu tumeliifathi tu
 

geniusbrain ndo kaoza kabisa ubongo..
 
Mapambano dhidi ya ujambazi wa ccm yanaendelea.tutawatoa madarakani muda si mlefu.
 
kuchney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!damn damn damn danm politica, bora mngewachimbia hata barabara za changarawe wanaingunga wangewakumbuka milele kuliko kuwatimulia vumbi na matripple helicopiters,
 
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!

Hujui maana ya neno patupu! Wewe si mtanzania. Wenye ccm yao wanaugulia maumivu wakiangalia data, wenzangu na mimi mnashangilia, kwenu ni bora liende. Hamjui lijalo kesho, na wala si mbali.
 
Dkt W.P.Slaa, The Man I admire Ukiacha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Edward Moringe Sokoine. I wish Dkt Ashinde Urais 2015 ili ukombozi kamili upatikane Tanzania. Tanzania Tajiri lakini inahitaji mtu very firm kwenye maamuzi kama Dkt Slaa ili ifaidi raslimali zake na wananchi wake wanufaike na kuondokana na umaskini unaochangiwa viongozi waliokosa sifa ya kuongoza. Chini ya mtu wa aina ya Dkt Slaa, Tanzania ni Nchi ya EDEN duniani.



 
Ukishindwa uchaguzi, ni vyema kutoa hotuba ya shukrani kabla hamjarudi Dar (Kashindye/Slaa/Mbowe).
Huwa inaitwa concession speech.
Mnarudi square one!.. Hivi watu wa Igunga wengi wao wana facebook accounts?
C'mon!, eleweni somo.
 
Ukishindwa uchaguzi, ni vyema kutoa hotuba ya shukrani kabla hamjarudi Dar (Kashindye/Slaa/Mbowe).
Huwa inaitwa concession speech.
Mnarudi square one!.. Hivi watu wa Igunga wengi wao wana facebook accounts?
C'mon!, eleweni somo.
Wameiponda CCM kuwa wameshindwa kuleta maendeleo vijijini igunga halafu anaweka ujumbe kwenye facebook wa kuwashukuru hao hao wa vijijini. Hizi ni dalili mbaya sana. Au waende kwenye ofisi ya CDM ndio kuna computer?
 
Wameiponda CCM kuwa wameshindwa kuleta maendeleo vijijini igunga halafu anaweka ujumbe kwenye facebook wa kuwashukuru hao hao wa vijijini. Hizi ni dalili mbaya sana. Au waende kwenye ofisi ya CDM ndio kuna computer?
Tulia ww wala usipende kukurupuka hovyo,utaratibu wa kuwashukuru wananchi upo kwa Cdm kwa hyo subiri watu wajipange kwanza kwani si uchaguzi umeisha juzi tuu? Acha papara dogo
 

1. Ukifanya analyisis kisomi utajua kati ya CCM na CDM ni nani asherehekee kwa kugain na nani asikitike kwa kuloose.

2. Kampeni za igunga zimeimarisha CDM sio Igunga tu bali Tz nzima. Ungefuatilia discussions, na hamasa za watanzania ungejua nani anabomoka na nani anajengeka kati ya CDM na CCM countrywide.

Kudo! CDM, kudo! makamanda wetu Dr wa ukweli, Lissu, Mbowe, Zitto na wote! you have gained, and it was worth spending the money you have spent!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…