chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,188
Bado kidogo tu utajua hujui,,hii tu haitoshi tunapongezana ujinga wakati majimbo zaidi ya 200 kati ya 266 yamechukuliwa na CCM !sasa hapa tumepiga hatua gani?kuelekea kura za ndioooo?au vp?edward lowassa wakati wake ni sasa mpaka lini HAKI itapindishwa nchi hii?to what end?mtakuja kuchekwa na wajukuu zenu nyie!
Sent using Jamii Forums mobile app