Asante BlackMark,hatimaye JF App yenye mwonekano mpya ipo kwenye simu yangu

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Baada ya kuona jf app kule play store imetokomea kusikojulikana kuna mkuu mmoja humu jf katoa wazo watu tuingie Blackmark tutaipata,na kweli Mimi mmoja wapo nkainstall hiyo app na kuipata JF app yenye mwonekano mpya wa kuvutia zaidi
 
ni blackmart lakini hebu tujiulize kwanini update ianzie nje ya soko salama!?..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom