one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,310
Nadhani hujasiliza alichoongea huyu jamaa kaongea uchochezi kaongea kauli mbaya kama msikae kimya nyinyi mnaweza pasikalike hapa? unajuwa hii kauli maana yake nini? zaidi ya uhaini hakujawahi mtu kutoa kauli mbaya kama hii hata wapinzani wanajuwa cha kuongea. Suala la korosho hakuna mtu anapanga bei hili ni soko la dunia hakuna mtu aliyeleta madhara kwa hawa wakulima kama JPM na wakati yeye alikuwa katibu wa chama? alifanya nini? ningemuelewa kwanza angeomba msamaha kwa waliyoyafanya hapo sawaBashiru hajamsema Mwenyekiti ila nyinyi chawa ndio mnataka watz waamini hivyo. Bashiru alikuwa anawaambia wakulima wapaze sauti zao kama kuna matatizo yao ili yatatuliwe, nani asiyejua kuwa wakulima wa korosho wamekataa kuuza korosho zao kwa sababu ya bei kuwa chini kwa hila!!? Ulitaka awaambie nini wakulima kama hao!!?