Asante Bashiru, tumewajua machawa Halisi

CCM Imegeuzwa Chaka la "Wahuni!"
Madokta wa "kihuni" kama #Kigwangalla!
Vijana Wa "Vihoja" kama #Kihongosi!
Wazee wa "Mipasho" kama #Bulembo!

CCM imegeuka chaka la wahuni,msemakweli ndie adui yao!

Hapo hakuna "Taasisi",bali kuna "Wahuni" na
"Wanaupiga Uhuni Mwingi"

Unapokuwa na Wasomi wa Makaratasi kama Kigwangalla!

Aliyetumia uwaziri kustarehe na wasanii kwa gharama za wizara!

Aliyetumia muda mwingi wizarani kugombana na katibu mkuu wake,kisa anakiuka maadili ya uwaziri!

Hatimae Rais akafanya vyake,katibu mkuu akawa waziri kwa sasa.
Huku Kigwangalla ni "Chawa" kwa sasa!

Ukawa na vijana wa Vioja kama Kihongosi.

Ambaye amekomaza shingo kuachia ngazi,pamoja na kuhusishwa kwenye kashfa za kuiba fedha za jiji la Arusha kupitia mkewe!

Halafu leo na yeye anapata ujasiri wa kumkosoa aliyesababisha hiyo CCM ikabaki ilipo!

Tunajua ma-CCM mengi yanao uchungu na #Bashiru,sio kwa sababu ya kumtetea mama yao!

Bali kwa hasira za kukatishwa ulaji na Tume ya kukagua na kuratibu mali za CCM.
Iliyoongozwa na Bashiru

Ni kupitia hiyo tume ndio kina #Bulembo walitemeshwa ulaji kutoka mauzo haramu ya shule za "TAPA"
Jumuia ya wazazi wa CCM!

Ni hiyohiyo tume ya #Bashiru,iliyowatemesha kina #Nape magari ya CCM waliyojimilikisha bila haya mchana kweupe.
Ila kwa tume ya #Bashiru,na misimamo ya #JPM.
Vyote vilirudi.

Wanaompinga Bashiru leo,ndio hao walikiuza kiwanda cha uchapaji cha CCM.

Ndio hao waliokuwa wamemuuzia Yusuf Manji kituo cha television cha CCM cha "Chanel Ten"

Yoote yaliharibika,baada ya #Bashiru kufanya kazi yake kwa uadilifu mkubwa!

Tunajua kabisa,sababu zilizowafanya walamba Asali waanze na kumuweka #Bashiru pembeni mapema!

Ni kwa sababu uwepo wake kama katibu mkuu,yanayotokea sasa,yasingewezekana kamwe!

Ni mengi na Ni wengi waliotemeshwa ulaji!

Ila pia tunajua walamba asali walivyoratibu zoezi la kuwafagia wazee wakweli ndani ya CCM.

Wengine wakiponea tundu la sindano,kina Mang'ula!

Ambao hawakubahatika ndio ikawa historia.
Mmoja wa waliosalimika akazawadiwa U- Vaisi- presoo!

Tunaomba mumpinge #Bashiru kwa "HOJA" badala ya "VIOJA"

Bashiru anayajua mengi ndani ya hicho chama,tena anayajua "MABAYA" yenu kuliko "MAZURI"

Kaeni mkijua kwamba Baba wa Taifa aliacha waosia huu....

"UPINZANI WA KWELI WA CCM,UTATOKA NDANI YA CCM YENYEWE"

Yangu ni hayo kwa sasa!

Enyi Wavimba Macho wa Kuumwa na "Nyuki" wa "Asali"

Mmepigwa kauli moja tu....mnatapatapa kila kona!

Mvua yenyewe bado inakuja! Hayo ya #Bashiru ni dalili zake tu!

View attachment 2423276View attachment 2423302View attachment 2423304

Nimetumia haki yangu kusema "UKWELI" huu!

Alamsikhi
10101.
Dr. Bashiru Ally Kakura hajakosea sehemu yoyote kutoa maoni yake na kushauri yafanyiwe kazi kuwasaidia wakulima badala ya kumsifia mtu wakati mambo yanaenda hali jojo. Wanaomshambulia wana chuki binafsi dhidi yake sio hoja aliyotoa na kwa hali kunazidi kushusha heshima ya chama hicho kilichojaa makada na viongozi wasio waaminifu =wanatafuna kodi za wananchi bila kuwasaidia kuondokana na umasikini uliokithiri.

Dr. Bashiru Ally Kakura hatakiwi hata kuomba msamaha wowote ule maana hajatenda kosa la kimaadili wala kijinai.

A Good leader with constructive criticism stands out with the proficient traits as follows:
1. Don’t Play The Victim

When criticism strikes, never take on a “woe’s me” attitude. People find it difficult to respect a leader who becomes the victim. The victimization mentality is not a leadership trait, but rather represents an individual that lacks the mental fortitude and composure to be in a leadership role. When leaders play to the victim narrative, it exposes their lack of maturity, and doubt rapidly begins to enter the minds of those they lead about their ability to endure the pressure, intensity, and uncertainty.

Rather than play the victim, own the criticism and convert it into new opportunities previously unseen. Be a change agent and turn the negativity into a platform to enable growth, innovation, and endless possibilities.

2. Don’t React Impulsively

When faced with criticism, step back and assess the situation. Be patient, and don’t react impulsively. Too many leaders get defensive, focus more on their reputation and overreact, rather than evaluate the situation at hand.

Adversity may make or break you, but it primarily reveals you. Leaders must practice patience when faced with criticism and show a high level of composure and executive presence. Criticism comes and goes. How well you lead through it is what earns you respect from your peers.

3. Don’t Take It Personally

I’ve been advised by my mentors not to care so much about what people say. This does not imply that I shouldn’t work hard or perform at my highest levels – it refers to the importance of not taking criticism personally. As a leader, you must be mindful not to get overly attached to the business and the issues at hand. When you take criticism too personally, it becomes more difficult to be objective toward meeting the needs of the business and the people you lead.

Leadership is not easy and handling criticism is an unwritten rule in the job description. It happens often and if you lead to win, and advance others and the organization you serve – you should expect criticism and know how to handle it. Those leaders that take it personally will find their leadership role short-lived.

4. Turn Criticism Into Opportunity

Criticism is another way of saying “learning moments.” Though you can never be perfect when leading, you must be open-minded enough to course correct along the way. Leadership requires you to pivot, renew and reinvent yourself. Though you may have experienced success in the past, leadership requires you to invest in yourself so that you can become a better, faster, and more fluid change agent.

Great leaders and their organizations are often criticized. As the saying goes, “It's difficult to get to the top but even harder to stay there." Why is it harder to stay on top? Because it’s easy to grow complacent – and it’s difficult to endure the critics that don’t believe you’ve earned the right to be there in the first place. Staying focused is critical when you are a leader and diffusing the noise by staying focused on the next level of evolution in your business will help you shut down your critics.

One of the most important qualities of leadership is being a good listener. And that applies just as much, if not more when you are being criticized. Don’t try to shut it down. In fact, turn up the volume and really listen to what is being said. Too many times leaders turn the criticism around on the person speaking up, instead of seeing it as an opportunity to learn from someone else. Listening to criticism is a leadership responsibility that does not appear in the job description, but it can make you a more effective and trustworthy leader if you handle it constructively.

*MAKADA WOTE wa CCM ambao kwa nyakati tofauti wametoka hadharani na kuanza kumshambulia binafis Dr.Bashiru Ally Kakura wenyewe ndio wanatakiwa kuomba msamaha huyo sio ndugai mnachokoza moto msiouweza kuuzima
 
We jamaa nimekudharau saana, unaonekana unateseka sana na umasikini sasa hasira zako zimehamia kwa watu wengine! mkuu pambana tafuta maisha majungu hayawez kukufikisha popote!
Leta Hoja acha vioja!
Nchi hii ni nani ambae ni tajiri?

Ukiliondoa kundi la wateule?

Wajinga kama wewe mko wengi nchi hii!
JamiiForums896815200.jpg
 
Na pia angalia CV's za hao makada uchwara waliojitokeza mpaka sasa,kumshambulia Bashiru!

Kina Musukuma!
Kina Lusinde!
Kina Kigwangalla!
Kina Kihongosi!
Kina Nape!

Wote hao ni madodoki yanayotumika kubariki uozo wa CCM kwa watanzania!

Na this time around,wasipoangalia vizuri,itakuwa tofauti na matarajio yao!
 
CCM Imegeuzwa Chaka la "Wahuni!"
Madokta wa "kihuni" kama #Kigwangalla!
Vijana Wa "Vihoja" kama #Kihongosi!
Wazee wa "Mipasho" kama #Bulembo!

CCM imegeuka chaka la wahuni,msemakweli ndie adui yao!

Hapo hakuna "Taasisi",bali kuna "Wahuni" na
"Wanaupiga Uhuni Mwingi"

Unapokuwa na Wasomi wa Makaratasi kama Kigwangalla!

Aliyetumia uwaziri kustarehe na wasanii kwa gharama za wizara!

Aliyetumia muda mwingi wizarani kugombana na katibu mkuu wake,kisa anakiuka maadili ya uwaziri!

Hatimae Rais akafanya vyake,katibu mkuu akawa waziri kwa sasa.
Huku Kigwangalla ni "Chawa" kwa sasa!

Ukawa na vijana wa Vioja kama Kihongosi.

Ambaye amekomaza shingo kuachia ngazi,pamoja na kuhusishwa kwenye kashfa za kuiba fedha za jiji la Arusha kupitia mkewe!

Halafu leo na yeye anapata ujasiri wa kumkosoa aliyesababisha hiyo CCM ikabaki ilipo!

Tunajua ma-CCM mengi yanao uchungu na #Bashiru,sio kwa sababu ya kumtetea mama yao!

Bali kwa hasira za kukatishwa ulaji na Tume ya kukagua na kuratibu mali za CCM.
Iliyoongozwa na Bashiru

Ni kupitia hiyo tume ndio kina #Bulembo walitemeshwa ulaji kutoka mauzo haramu ya shule za "TAPA"
Jumuia ya wazazi wa CCM!

Ni hiyohiyo tume ya #Bashiru,iliyowatemesha kina #Nape magari ya CCM waliyojimilikisha bila haya mchana kweupe.
Ila kwa tume ya #Bashiru,na misimamo ya #JPM.
Vyote vilirudi.

Wanaompinga Bashiru leo,ndio hao walikiuza kiwanda cha uchapaji cha CCM.

Ndio hao waliokuwa wamemuuzia Yusuf Manji kituo cha television cha CCM cha "Chanel Ten"

Yoote yaliharibika,baada ya #Bashiru kufanya kazi yake kwa uadilifu mkubwa!

Tunajua kabisa,sababu zilizowafanya walamba Asali waanze na kumuweka #Bashiru pembeni mapema!

Ni kwa sababu uwepo wake kama katibu mkuu,yanayotokea sasa,yasingewezekana kamwe!

Ni mengi na Ni wengi waliotemeshwa ulaji!

Ila pia tunajua walamba asali walivyoratibu zoezi la kuwafagia wazee wakweli ndani ya CCM.

Wengine wakiponea tundu la sindano,kina Mang'ula!

Ambao hawakubahatika ndio ikawa historia.
Mmoja wa waliosalimika akazawadiwa U- Vaisi- presoo!

Tunaomba mumpinge #Bashiru kwa "HOJA" badala ya "VIOJA"

Bashiru anayajua mengi ndani ya hicho chama,tena anayajua "MABAYA" yenu kuliko "MAZURI"

Kaeni mkijua kwamba Baba wa Taifa aliacha waosia huu....

"UPINZANI WA KWELI WA CCM,UTATOKA NDANI YA CCM YENYEWE"

Yangu ni hayo kwa sasa!

Enyi Wavimba Macho wa Kuumwa na "Nyuki" wa "Asali"

Mmepigwa kauli moja tu....mnatapatapa kila kona!

Mvua yenyewe bado inakuja! Hayo ya #Bashiru ni dalili zake tu!

View attachment 2423276View attachment 2423302View attachment 2423304

Nimetumia haki yangu kusema "UKWELI" huu!

Alamsikhi
10101.
Haki yako au na wewe chawa wa Bashiru, wewe unaita wenzako chawa wakati na wewe unayafanya yaleyale eti natumia haki yangu na wao wacha watumie haki zao. ungeandika story iliyo balance hapo sawa
 
Kaka Tanzania Hakuna upinzani. Vipo vyama maslaitu. Wewe umeona machungu yote tunayopitia watanzania umeona chama gani kinapaza sauti? Wamevimbiwa na Asali.

Magufuli Alisha washtukia kwamba ni wahunitu.

Naamini upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM ndio hawa wazalendo wachache kama dkt kakurwa wataibuka na kuwasemea wanyonge.
Uko sahihi kabisaaa!
Tutasimama na Bashiru popote atakapokuwa!
 
Na kwa Bashiru,CCM inawapasa kujitafakari badala ya kukurupuka kumdhihaki,wakati yeye anawajua fika kwa uozo wao.
Wewe jiongeze kidogo waliondoka vigogo eti Bashiru huyu mbona dawa yake inaiva
 
Chadema wanafurahisha sana leo wamehamia kwa Bashiru sio Mbowe tena, Bashiru kamdhihaki mwenyekiti wa chama sasa dawa yake ataipata ni kama Chadema atokee mmoja amseme mwenyekiti wao halafu tuone Chadema watamfanya nini? Bashiru ni mnafiki hajawahi kusimamia kitu kimoja yeye ana maslahi yake ila kwa hili kaingia choo cha kike
 
Hii culture ya uchawa ilioteshwq na kukuzwa na Bashiru kipindi Cha Magufuli
Ilikua Hadi aibu unamsikia mkuu wa mkoa akisema hata Mungu anatakiwa kumshukuru Magufuli
Na sasa Bashiru huyohuyo anaikemea.
 
Hii culture ya uchawa ilioteshwq na kukuzwa na Bashiru kipindi Cha Magufuli
Ilikua Hadi aibu unamsikia mkuu wa mkoa akisema hata Mungu anatakiwa kumshukuru Magufuli
Bashiru ni kiboko ya mafisadi ndani ya CCM ambayo yalikuwa yamekifanya chama kama Saccos yao.

Tume yake iliibua madudu makubwa kwenye chama kama wakina Nape walikuwa wanagawana mali za chama kama njugu yeye alijigawiya V8 sitegemei watu kama hao wampende Bashiru.

Naamini Bashiru nyota yake bado inang'aa vilivyo kwa sasa hakuna wakuiharibu ndani ya CCM atakayefanya hivyo ataharibikiwa yeye.

Go Go Go Dr. Bashiru ili tuyajue mafisadi yaliyoko ndani ya CCM uliyoisafisha na kuweka mfumo mzuri wa ukusanyaji mapato ndani ya chama na mfumo mzuri wa utumiaji wa mapato hayo. Mafisadi ndani ya CCM yanataka kuharibu mifumo mizuri uliyoijenga ndani ya CCM.
 
Chadema wanafurahisha sana leo wamehamia kwa Bashiru sio Mbowe tena, Bashiru kamdhihaki mwenyekiti wa chama sasa dawa yake ataipata ni kama Chadema atokee mmoja amseme mwenyekiti wao halafu tuone Chadema watamfanya nini? Bashiru ni mnafiki hajawahi kusimamia kitu kimoja yeye ana maslahi yake ila kwa hili kaingia choo cha kike
Bashiru hajamsema Mwenyekiti ila nyinyi chawa ndio mnataka watz waamini hivyo. Bashiru alikuwa anawaambia wakulima wapaze sauti zao kama kuna matatizo yao ili yatatuliwe, nani asiyejua kuwa wakulima wa korosho wamekataa kuuza korosho zao kwa sababu ya bei kuwa chini kwa hila!!? Ulitaka awaambie nini wakulima kama hao!!?
 
Acheni upambe, mwacheni huyo mwenyekiti ajitetee mwenyewe basi. Mwenyekiti wa ccm mnafanya kama Mungu. Akitajwa tu mishipa ya shingo inawatoka acheni kujipendekeza kwa mwenyekiti.
Kamseme mwenyekiti wako Mbowe halafu utaleta mrejeo hapa
 
Back
Top Bottom