Asante Bashiru, tumewajua machawa Halisi

Asante Bashiru, tumewajua machawa Halisi

CCM Imegeuzwa Chaka la "Wahuni!"
Madokta wa "kihuni" kama #Kigwangalla!
Vijana Wa "Vihoja" kama #Kihongosi!
Wazee wa "Mipasho" kama #Bulembo!
Kwa mwelekeo huu kuna siku ccm inaweza kuwa sawa na Al shabab kwani ina viashiria vingi sana vya "aina ile"
 
Hili haliwezekani kwanza tujiulize nini maana ya chama. Kuwa kwenye chama ina maana unakubaliana na sera za chama na lengo la chama ni kutawala ili utawale lazima muwe pamoja hasa mkimaliza mambo yenu ya ndani ya chama mkiyamaliza mkitoka mnamkabili mpinzani kwa sauti moja. Hili unalotaka kusema hapa hata huko majuu hutoboi ukiwa uko nje ya chama. Kila chama kina taratibu zake za kufanya maamuzi na wanakosoana tu ila mkimaliza mnatoka wamoja sasa huwezi kutoka nje ukaanza kuwakosoa wenzano wakati unajuwa lengo ni kushika dola. Sio huyu Bashiru alisema huwezi kuwa na dola halafu usitumie dola kubaki madarakani au sio yeye? Chama ni kundi la watu wenye mawazo na malengo yaliofanana na wajibu kusimamia maamuzi ya chama. ndio maana hata uwe mkubwa vipi hata Mama Samia sio raisi lakini sio lolote akitoka nje ya CCM
Sio hivyo wakati wote!
Ukisubiri kukosoa huko ndani,wakati hao unaotaka kuwakosoa ndio mahakimu wa vikao husika!

Halitawezekana,matokeo yake ni wewe kuchinjiwa Baharini bila Umma kujua yaliyojiri.

Siasa ni mbinu,sio kila jambo linawezekana kufanyika kwenye vyama vya kihafidhina kama CCM!

Hayo yanawezekana kwa chama ambacho kinasimamia Haki na Ukweli.
Ila sio kwa Chama kinachosimamia "Ubadhirifu" na "Ufisadi"

Mfano mdogo ni hapo Uingereza ambapo majuzi wabunge wa Conservative individuals wimueleza Waziri mkuu mstaafu wao #Boris Johnson kwamba akirudia kugombea uwaziri mkuu,wanajiondoa uanachama!

Na aliwatii ndio akamuachia Muhindi.
 
Umewaita watu machawa wakati ulichofanya ni uchawa ule ule tu. Bashiru anasumbuliwa na 'uhaya' kudhani anachojua yeye ndio sheria na ndio mipaka ya mtu mwingine ya kuelewa jambo,.

Hata bosi wake wa zamani hayati JPM alikuwa anasumbuliwa na matatizo haya haya tu, anaelezwa kitu na mtaalam fulani na ghafla anamkatiza katikati kabla hata hajafikia mwisho wa maelezo yake, ni ugonjwa wa ujuaji ule ule tu!.
Nyie kazaneni kugombana na wafu,badala ya kupigania Hoja za msingi!

Mnakaa mkiusifia ujinga badala ya kuukana!

Empty Minded Skulls
JamiiForums896815200.jpg
 
Hamis kingwangwala naona amekuwa chawa pro yote ni kutafuta uwaziri...wanasiasa wa kizazi hiki vichwa bomu kabisa ....yaani unatafuta mtu akosee ndio ujitokeze ..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom