Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,015
Hii itakuja kukurudia na wewe.. fanya toba ya kweliNikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala ..... hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Nimeshafanya mkuu na jana nilienda kanisani kutubuHii itakuja kukurudia na wewe.. fanya toba ya kweli
Kwahiyo Serikali ndio ilinitumia hiyo pesa kimakosa amaPesa nyingi hio lazima utafuatiliwa tu. Mkono wa serikali ni mrefu.
Newton's Third Law Of MotionHiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Kwani ameiba? Si wamemtumia wenyewePesa nyingi hio lazima utafuatiliwa tu. Mkono wa serikali ni mrefu.
Ni suala la muda tu.Hiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Siku akija kulipa jua tu anayo huo ndio mzunguko wa maishaHiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Karma is a real b*tch..Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye simu yangu kuwa nimepokea kiasi cha ml 4.5 kutoka kwa wakala ..... hakika sikuamini nilichokiona, kwa haraka hiyo pesa nikaihamishia kwenye lain yangu ya tigo pesa ml 2 na laini ya voda nikahamishia ml 2, mbio hadi kwa wakala nikaitoa pesa kwenye lain zote na ile iliyokuwa imebaki kwenye namba niliyotumiwa ya airtel nayo nikaitoa na laini iliyopokea muamala sijaiweka hewani hadi sasa na kabla sijaitoa hewani sikupigiwa na mtu kwamba ametuma hela kwangu kimakosa na wala mimi sikuwa na ahadi na mtu eti anitumie hela kwahiyo ninashukuru sana aliyenitumia hiyo hela kiukweli hata kama angenipigia na kuniambia eti kakosea muamala asingeambulia kitu Mungu amlinde sana nilikuwa nina Magumu sana asante Mungu, na nitakukumbuka 2022.
Hiyo pesa utakuja kuilipa ,either wewe mwenyewe ,au watoto wako ....
Every action there is equal and opposite to the reaction ...
Kiaje tena mkuuHongera ila nipo kwa mganga hapa ndo nashugulika na jambo lako