Asali ya Katavi

Wapeleekni polisi taarifa kwamba kuna madawa ya kulevya yameonekana huko katavi, tuone ule uthubutu wao.
 
Kupandishana mizuka asubuhi yote hii siyo issue mkuu🙁🙁🙁
 
Utotoni kuliwahi kutungua fenesi kubwaa kumbe upande mwingine kulikuwa na hao Jàmaa. Kichekesho ni kwamba mafuta ya kula tuliiba jikoni. Fenesi halikuliwa tuliishia hospitalini..
[emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hao Nyuki mbona hawajatajwa????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…