Asali wa moyo

Asali wa moyo

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Wewe ndiwe asali wangu WA moyo, WA dhiki na faraja mpenzi kaza moyo, ingawa yatasemwa mengi midomoni mwao usiwajali wao..for you honey pie
 
Zekidon, miaka ya sasa n kupata unachokihitaj na kusepa yaan n utandawaz had kwnye love
 
Zekidon, miaka ya sasa n kupata unachokihitaj na kusepa yaan n utandawaz had kwnye love

Ni kwa asilimia flani, ILA naamini Kuna wachache kama Mimi wenye imani ya mapenzi ya kweli
 
Acha tu mkuu, unabaki umeduwaa hata uki-rewind hupati snap halisi maana ni kinyume cha hali ya juu. Mapenzi bwana kizungumkuti.

ndo hivyo mkuu! Unataman usiambiwe tena hayo maneno maana either utakumbuka machungu au utapredict kwamba na anaekwambia anazuga atabadilika awe kama wa kwanza
 
Hahaha yaani kila nikiona couple inafunga ndoa. All smiles, the eye contacts and all that. Nawaza tu ukiambiwa kuna siku watageuka maadui, daah!

unakumbukia maneno matamu afu unaishia kutabasamu na kublush.
Acha tu mkuu, unabaki umeduwaa hata uki-rewind hupati snap halisi maana ni kinyume cha hali ya juu. Mapenzi bwana kizungumkuti.
 
Back
Top Bottom