The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Hahaha yaani kila nikiona couple inafunga ndoa. All smiles, the eye contacts and all that. Nawaza tu ukiambiwa kuna siku watageuka maadui, daah!
unakumbukia maneno matamu afu unaishia kutabasamu na kublush.
Hivi ni diamond ndio aliimba 'zikitimia wapenda naowanageuka maadui' ?