ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Kuna watu wanachoma sindano kila siku maisha yao yote ku control diabetes( kisukari)
 
Huu uzi watu wanajadili ki-layman sana... Badala ya kujadili kwa mapana na marefu ili ufaidishe jamii iliyomo humu. Na yote imechangiwa na mleta uzi kuugeuza kuwa wa "kimipasho" sana...

Kwa sisi watu wa medical field mngeweza ku-benefit masuala juu ya uhalisia... Mjue watu humu JF, tuna-type, na tuna-enjoy maisha humu, lakini tunadanganyana sana... Wengi tunajifanya tuna maisha mazuri, kama hivi tunajifanya hatuumwi(as if wanaoumwa, huo ugonjwa waliuleta wao, wakati wao wenyewe wameambukizwa), na mengine kama hayo. Tunaishi maisha ya mtandaoni ambayo si uhalisia wetu.

Sasa na wao wapo humu na wamekuwa "carried away" na mkondo mbaya wa mjadala.. Wakati wana uelewa zaidi ya mtunga uzi.

Kifupi napinga na ni uongo mkubwa kuwa ARV zina shida katika matumizi. Labda mtoa uzi arudi aseme, hiyo taarifa aliipata wapi, kwa nani, na lini.
Kupinga bila kuleta maelezo ya hoja yako haisaidii,mwaga unachokijua tupate kufahamu
 
Huu uzi watu wanajadili ki-layman sana... Badala ya kujadili kwa mapana na marefu ili ufaidishe jamii iliyomo humu. Na yote imechangiwa na mleta uzi kuugeuza kuwa wa "kimipasho" sana...

Kwa sisi watu wa medical field mngeweza ku-benefit masuala juu ya uhalisia... Mjue watu humu JF, tuna-type, na tuna-enjoy maisha humu, lakini tunadanganyana sana... Wengi tunajifanya tuna maisha mazuri, kama hivi tunajifanya hatuumwi(as if wanaoumwa, huo ugonjwa waliuleta wao, wakati wao wenyewe wameambukizwa), na mengine kama hayo. Tunaishi maisha ya mtandaoni ambayo si uhalisia wetu.

Sasa na wao wapo humu na wamekuwa "carried away" na mkondo mbaya wa mjadala.. Wakati wana uelewa zaidi ya mtunga uzi.

Kifupi napinga na ni uongo mkubwa kuwa ARV zina shida katika matumizi. Labda mtoa uzi arudi aseme, hiyo taarifa aliipata wapi, kwa nani, na lini.
Kupinga bila kuleta maelezo ya hoja yako haisaidii,mwaga unachokijua tupate kufahamu sote humu
 
K
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu.

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
Kwann uhisi maruheuhe ? Kwan wakat una ngonoka hukusikia maruhe ruhe

Samahan lkn.......
 
Ni kweli asilimia kubwa ya watu wenye O+ hawapati HIV kirahisi, nina mfano hai wa mtu wangu wa karibu kabisa, miaka hiyo yule bwana na mahawara zake kibao walishaiacha dunia kwa ukimwi ila yeye yupo hadi leo, kila akipima ni negative
Nafikiri kuna haja ya utafiti zaidi ufanyieke juu ya hili,huenda watu wana hoja ya msingi na inawezekana hata hao watafiti wakiwatumia hao wenye blood group hilo wakaja na chanjo ya UKIMWI,kama ni kweli hawaambukizwi kwa urahisi
 
Mi ndugu yangu anaishi moro ila anachukulia mnazi mmoja...manesi anawapa mshiko wa maana maana mi ratiba zangu zilibana kuwa namtumia kwenye basi, so wao now ndo wanafanya hii shughuli

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Daaah sijui ntakua nishawahi kumla huyo aunt wako,manake nilishawhi kuishi huko mida fulani na niliwapelekea moto sana mashangazi wazurizuri
 
Back
Top Bottom