Mkuu hii ni kwa kuwa sitaki kila mara kurudi hapa kuchungulia hayo mambo...
hahaha...hebu ngoja niandae malipo aisee kuliko kuikosa hii skrini seva
sawa
nimekusoma
Okey. Lipia kabisa kupitia ile a/c yangu ya BARCLAYS tawi la Arusha.
kwani imebadilika...?
Hapo sasa tutaelewana! Usijekuwa kama yule mzungu wa mto Zambezi.
thats good. Karibu sana
Ujumbe huu uwafikie PakaJimmy Kaizer Mzee wa Rula Filipo Erickb52 Lily Flower KOKUTONA Dark City na watu8.
Lakini hata hivyo umezidi
ngoja nikutafutiea misitari yako ya Biblia
walao ikusaidie kukuondolea kiu hiyo uliyo nayo.