Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Arushaone hongera saana kwa kufikisha a year hapa Jamvini, Mungu akupe uzima uzidi kusongesha miaka hapa hapa Jamvini 🙂 .

I hope shem Asprin alikupa zawadi ambayo nilimkabidhi akupe... Lol
Shem bana..... Yani kweli zawani nono kama ile niifikishe? Ngoja akiongeza mwaka wa pili ntaangalia cha kufanya.

BTW hivi unajua nimekumisije?
 
Shem bana..... Yani kweli zawani nono kama ile niifikishe? Ngoja akiongeza mwaka wa pili ntaangalia cha kufanya.

BTW hivi unajua nimekumisije?

Ha ha ha! Nilikuwa nabahatisha kuona kama ulibadili mawazo. Mwenzio nilikuwa nakupima uaminifu, zawadi nilituma kwa S.L.P Lol.

You have been missed more shem.
 
Ha ha ha! Nilikuwa nabahatisha kuona kama ulibadili mawazo. Mwenzio nilikuwa nakupima uaminifu, zawadi nilituma kwa S.L.P Lol.

You have been missed more shem.
Oh Mama mia!! Shem bana, ya nini kumisiana namna hii wakati tunaweza kulifukuza hili liibilisi la kumisiana.... Am on my way! Usitoke.......

attachment.php
 
mh!hebu ninongo'oneze
chemba! sweetlady
nilikua nae mahali
kanitafuta saa ngapi?!!
au wewe ndio unanitafuta
unazuga tu hapa!

Last edited by a moderator:
Wabeja sana Asprin kwa burudani na Arushaone kwa kutimiza mwaka mmoja.

kweli nilidhani una miaka mitano humu jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom