Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Arushaone.... You Are Getting Old... Damn You!!

Asprin

Mambo vipi Kamanda wangu?????????????????????? Bila shaka kwa uweza wake mola U mzima wa afya njema!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hata shikamoo kwa wazee inaelekea hutoi wewe kijana.
hahahahahaha..shikamoo ni utumwa..na ndio inasababisha watu kuwa wanyonge kwa mtu...ukishamuamkia..utashindwa hata kumuhoji kisa mkubwa wake..nakushauri achana na "shikamoo" mkuu@Arushaone
 
Back
Top Bottom