Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
maguu kama yangu vile
Ninapotaka mimi ni hapo tu....
![]()
Ninapotaka mimi ni hapo tu....
![]()
tutake radhi
au unaipenda nikuagawie na weye kidogo
walau vimiezi sita tu.
Hapana nimevaa naniliyu yako ili ujue navozimikia naniliyu yako.
Arushaone, mi naona mwenye mwongozo muafaka kabisa kwa hilo ni mlongo wangu snowhite na siku hizi naona anamfundishafundisha shem wake Nicas Mtei, sijui kafikia wapi huyu dogo?