Arushaone umetisha!

Huyo mdogo wako KOKUTONA.....taratibu..mwalimu hajambo?

Nilikuwa kwenye utekelezaji wa mpango wa "kuweka mafuta kila kituo", sasa tunaweza kuongelea habari ya mwalimu. Kweli unataka kujua kama hajambo au mdomo umekucheza.

Copy: KOKUTONA

Mkuu Kaizer kwa KOKUTONA uliza habari za MWALIMU tu. Ya Arabela hayakuhusu hata tone. OK?

Swala la Arabela bado lipo mezani kwangu hadi mpango wetu wa muda mrefu ukamilike! Na utakuwa na awamu kibao kama Mkukuta!
 
Last edited by a moderator:
Filipo habari za siku? marejesho hajambo? mbona hatukaribishani?

Habari zangu nzuri sana na wife pia hajambo! Nilikukaribisha ukaleta pozi, sasa umenikumbuka eeh!!? Pole sana. Sasa nipo bize na Arabela kuna mambo tunafanya. Wife yupo bediresti!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kwisha habari yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…