****arushaone & lady doctor****

Shemejiii !
Unajimix ujue?
Ukipewa fulu- skepu uelezee umeijuaje chupi ya hilo lijamaa ina viuaua utastetije?
Shaul'ako mi simo!

shemeji ujue Bishanga anavaa sana kihuni pichu njenje eti kata k, lazima pichu ionekane
 
Last edited by a moderator:

Heee! Kwa hiyo unaamua kutuzimisha roho hapa hadharani eeh? Bahati yako sikuwa karibu na kompyuta kwa muada mrefu. NYOOOOO.
 

Heee! Kwa hiyo unaamua kutuzimisha roho hapa hadharani eeh? Bahati yako sikuwa karibu na kompyuta kwa muda mrefu. NYOOOOO.
 
Heee! Kwa hiyo unaamua kutuzimisha roho hapa hadharani eeh? Bahati yako sikuwa karibu na kompyuta kwa muada mrefu. NYOOOOO.

micheletz mzima wewe? Ama baada ya salamu napendakukujulisha kuwa lile pepo lako la ngono nimeanza kuliombea likutoke maana naona linakutesa sana! Ppffwwuuuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
amekufanyaje????? Hivi hili langu halikutoshi mpaka ukodolee wengine? Utaniudhi ujue?

Ukweli ni kwamba FaizaFoxy ni mtani wangu wa jadi, enzi na enzi ila suala la malovee hayahusiki hata tone mpenzi. Okey?
 
Last edited by a moderator:
huu utani wako utanifanya nipate presha mtoto wa mwanamke mwenzio mimi ohoooo!!!

basibasi beibi usipate presha bana, coz I'm your friend, your wife and your doctor.... Siwezi kuwa kinyume na furaha yako mpenzi
 

We miss you too all, and we always talk about you people here at home.

Salaamu zimefika, we will be very happy seeing you again. Incredible happy.

Karibuni sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…