Arushaone arejea Arachuga

Arushaone arejea Arachuga

Baada ya kukaa kama kamati mimi na Arabela leo tumemruhusu Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali Blaki Womani.
Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from everything na mwepesi mno.

@Blaki Woman hakikisha menu ya mzee inakuwa na varieties zenye carbohydrates na protein zaidi.
Arushaone tunakushukuru sana sana kwa company yako hatukuchoka ila tumemuonea huruma mke halali na malalamiko ya Filipo.

Shukurani za dhati kwa wana Arusha woote kwa kukubali kumwacha MSUWATI Tanga hadi tulivyomruhusu leo.
Arabela karibu kwa kuongezea, uwanja ni wako nyumba ndogo mwenzangu.

Kazi tumeifanya.

Habari hizi ziwafikie PakaJimmy, Preta, @ Filipo, werawera, Lily Flower, marejesho, nyumba ndogo mwenzetu Madame B, Tanga crew pamoja na corabo ya dar

Kazi kazi kazi
 
Last edited by a moderator:
wewe mimi namba ingine kabisa ngoja aje haki ya m2 haipotei hata siku moja,

Wenzio Tanga wamemfanya hamna! Kaogeshwa na maji ya iliki, kanywa ya ukili na amelowekwa Pangani! Huko Amboni wakamwekea nadhiri, na amelazwa Chumvini!!! Huyu KOKUTONA ni noumer! Chezeya Tanga weye?
 
Last edited by a moderator:
Naiwazia hiyo threesome ilivyofanyika.
Anyway, tunaomba mtujulishe mmempakiza basi gani, Freys, Ngorika, Mtei, Bazzu, au Simba Mtoto?
Acha tufanye mpango tukampokee bana, tutafanyaje sasa.
Filipo, LiverpoolFC, sweetlady, Preta, andaeni mausafiri tumfikishe kwake Moshono.

Mfalme huyo, andaeni mapokezi makubwa na kwa kazi nzuri aloifanya tumemkodia gari na dereva.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom