Arushaone arejea Arachuga

Arushaone arejea Arachuga

Baada ya kukaa kama kamati mimi na Arabela leo tumemruhusu Arushaone kurudi nyumbani kuungana na mkewe halali Blaki Womani.
Kwa kweli tumefaidi............, na tmemrudisha mzimaaa na safe from everything na mwepesi mno.

@Blaki Woman hakikisha menu ya mzee inakuwa na varieties zenye carbohydrates na protein zaidi.
Arushaone tunakushukuru sana sana kwa company yako hatukuchoka ila tumemuonea huruma mke halali na malalamiko ya Filipo.

Shukurani za dhati kwa wana Arusha woote kwa kukubali kumwacha MSUWATI Tanga hadi tulivyomruhusu leo.
Arabela karibu kwa kuongezea, uwanja ni wako nyumba ndogo mwenzangu.

Kazi tumeifanya.

Habari hizi ziwafikie PakaJimmy, Preta, @ Filipo, werawera, Lily Flower, marejesho, nyumba ndogo mwenzetu Madame B, Tanga crew pamoja na corabo ya dar
Madame B mke mwenza wasikilize wajukuu wamecheza cheza na ndevu za babu wanataka kuingia kwenye list
 
Last edited by a moderator:
Madame B mke mwenza wasikilize wajukuu wamecheza cheza na ndevu za babu wanataka kuingia kwenye list

Wao waache, hawajui tunakutana na nini kwa huyo bwana,
Wanaona tunacheka kila siku wanafikiri kule ni kutamu.
we KOKUTONA na mwenzio Arabela, Subirini mkue kwanza.
Mke mwenzangu Blaki Womani, hao unaowasumbua ni Utoto, wakikua wataacha.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom