Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.
Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Kwani Fuso ina park ndani ya ofisi kama kabati au nje?Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Nadhani ni Wise kumpinga aliyeleta picha kwa kutueleza hiyo picha ilipigwa wapi na ni vizuri kama unazo wewe picha za jana ungezi upload hapa, huo ndio mwendo wetu JF, fact kwa factUongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.
Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.
Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.
sihajawahi kuona mtu anaandika ujinga kama huu ... kwani hiyo fuso ambayo Mh. Mbowe yupo juu yake ipo sehemu gani? ..... Lumumba au nje ya ofisi ya kata ya CDM
sometimes it is better to shut your bucal cavity
TUTAIFUTA CCM ARUSHA KABLA 2015! Hutaki unaacha
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Hapo kwenye Red mdau umenipiga chenga,ulikuwa na maana gani.
ahsante kwa taarifa nzuri kamanda lakini nikusahihishe kiswahili kidogo, Si kuzizima ni kurindima, kuzizima ni kuwa tuli yani kama vile kuna msiba unasema taifa lili zizima na kinyume chake yani shangwe ni kurindima.