Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

ila nashindwa kuelewa ni kwa nini haya yote yanatokea kipindi hiki cha qodless lema. this is very complicated. something else should be done hapa arusha kukomesha upumbavu huu. haya mambo hayatakiwi kabisa kwenye jamii iliyostaarabika.

Kwa hiyo mabomu yanapigwa na ACT na CCM kumharibia Lema?!
 
1779086_513286395457588_36038100_n.jpg


teh teh teh

article-2257998-16C72A05000005DC-200_634x417.jpg



article-2257998-16C72998000005DC-775_634x420.jpg

Devotion: Greek Orthodox Lukas Kokinis' prayers were answered.
 
Mudy ni kiongozi wa kipekee kuwahi kutokea, alikuwa anafundisha asichokitenda

-Katika Uislam imezuiwa kuoa zaidi ya wanawake wanne, lakini yeye alikuwa na zaidi ya wanawake 10
-Quran imezuia kuoa mke wa mwanao wa kulea, lakini yeye alimuoa
-Quran imezuia kuoa ndugu zako, lakini yeye alioa hadi watoto wa mama mdogo
 
Abunuasi kapiga... Anaakili za kiabunwasi kweli.
mkuu tuweke ushabiki pembeni. hivi ulishawahi kuhudhuria mikutano ya godless lema? maana huenda ukawa unaandikia mate wakati mimi nandikia wino.
 
hahahaa nachowapendea watz kdogo 2naundugu ndugu(brotherhood) coz kuna m2 hum ka2kanwa bt alvyoambiwa i was joking na kucheka kacheka..hahaaa 2endelee hv hv
 
mkuu tuweke ushabiki pembeni. hivi ulishawahi kuhudhuria mikutano ya godless lema? maana huenda ukawa unaandikia mate wakati mimi nandikia wino.

Naishi Arusha kwa hiyo sema jingine!... CCM wanahusika!
 
Back
Top Bottom