Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Umeiona mada lakini?Inaonesha wazi kabisa gaidi Mbowe anaonewa.
Siaachiwe huru?
Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
Kwa majina na eneo itakuwa jamii ya Wamasai ambao wanaishi jirani sana na simba. Hio ni ajali tu, ila huyo simba atatafutwa hadi auawe kwasababu kashaonja nyama ya mtu hataacha.Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
... huko chama miaka yote kinapita kwa ushindi wa kimbunga cha ajabu! Hao ndio wapiga kura wetu waaminifu (loyal). Kwani simba wameanza kula watu leo? Hebu mtupishe!Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
Saa nne ahsubuhi watoto wanarejea nyumbani?Watoto watatu kati ya wanne ambao ni wanafunzi wa shule ya Msingi Ngoile na wakazi wa kijijj Cha Ngoile wilayani Ngorongoro Mkoani hapa wameuawa kwa kuliwa na Simba huku mmoja akijeruhiwa wakati wakitoka shuleni...
... watamjuaje kwamba huyu ndiye aliyewala?Kwa majina na eneo itakuwa jamii ya Wamasai ambao wanaishi jirani sana na simba. Hio ni ajali tu, ila huyo simba atatafutwa hadi auawe kwasababu kashaonja nyama ya mtu hataacha.
Sijui, ila wenyewe wanajua na watamtafuta, watu wanatafuta hadi mamba aliekula mtu na wanamkamata wanamuua.... watamjuaje kwamba huyu ndiye aliyewala?
Sahihi. Inashangaza kwelikweli!Miaka sitini ya uhuru watoto wadogo bado wanakatiza mbuga kwa miguu kwenda shule
Hii shule ,afisa Elimu mkoa wa Arusha hajawahi kufika hapo tangu ianzishwe"...majira ya saa nne asubuhi katika Kijiji hicho wakati wanafunzi hao wakijerea nyumbani kutoka shuleni ..."
hiyo shule wanafunzi wanaenda shule mdaga gani na wanatoka muda gani? ama walikuwa wameelekezwa warejee nyumbani na walimu?
Addiction nyingine ni hatari sana!... huko chama miaka yote kinapita kwa ushindi wa kimbunga cha ajabu! Hao ndio wapiga kura wetu waaminifu (loyal). Kwani simba wameanza kula watu leo? Hebu mtupishe!